imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,403
Sio kweli Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa wa HURU na HAKI.Hata wangekuwa wao wangefanya hivyo hivyo tu
Ccm hoyeee
Sio kweli Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa wa HURU na HAKI.Hata wangekuwa wao wangefanya hivyo hivyo tu
Ccm hoyeee
Na ndio maana wakatoliki wanaunga mkono chadema?Wewe ndiye mdini kwanini wengine hawajaona kwa jicho la udini, kinywa cha mtu hutamka yaujazayo moyo wake. Bakwata inaunga mkono CCM kwa hiyo tuseme CCM ni chama cha Kiislamu? Tumia akili hiyo hiyo kidogo uliyobakishiwa.
Palikuwa na tume pale ya uchaguzi?Sio kweli Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa wa HURU na HAKI.
Ndiyo maana nimekushauri tuanze kwanza na Bakwata. Au unataka kusema kama Bakwata huikubali, hiyo dini nyingine ndiyo unaikubali?Kwa nijuavyo bakwata ni taasisi ya serikali na pengine ni kweli kwamba bakwata imeanzishwa na kusimamiwa na kanisa na mimi siikubali bakwata, wasiwasi wenu ndio unawatesa
Swali langu liko wazi kabisa kwa kuwa mumeshaelewa ni chama gani na dini gani so unaweza kusema tu ni yes au no
Nimemjibu bwashee, yeye ndio kala konaHapo ushamkimbiza huyu kilaza.
Wakatoliki wanaunga mkono uwepo wa amani na haki kwenye nchi. Na siyo kuhubiri tu kuhusu amani, huku haki ya wananchi muchagua viongozi wanao wataka, ikiendelea kudhulumiwa na wahuni wachache.Na ndio maana wakatoliki wanaunga mkono chadema?
Hoja ya kitoto sana hii. Na sidhani kama kuna Muislam mwenye akili timamu ataungana na mtazamo wa kijinga kama huu.Nimemjibu bwashee, yeye ndio kala kona
Hili ndilo mnaloweza la kusaidiana na kudanganyana
Chadema ni chama cha wakristo
Waislamu wote wajue hilo sasa
Ccm imeleta amani inchi hii mpaka inamwagika, na penye amani ndi penye haki ila wakatoliki wamezoea fujo na ndio wakanzisha na kudhamini mauaji ya kimbari na hata kongo sasa wanakazana kuua watu, n afrika ya kati ndio wanaua sana ndugu zetu, ila siku vikianza na sisi hapa tutawashughulikia kweli bwasheeWakatoliki wanaunga mkono uwepo wa amani na haki kwenye nchi. Na siyo kuhubiri tu kuhusu amani, huku haki ya wananchi muchagua viongozi wanao wataka, ikiendelea kudhulumiwa na wahuni wachache.
Mnachoweza ni kuhamisha magoli tuHoja ya kitoto sana hii. Na sidhani kama kuna Muislam mwenye akili timamu ataungana na mtazamo wa kijinga kama huu.
Isije tu ikawa ninabishana hapa na kitoto cha 2010+Ccm imeleta amani inchi hii mpaka inamwagika, na penye amani ndi penye haki ila wakatoliki wamezoea fujo na ndio wakanzisha na kudhamini mauaji ya kimbari na hata kongo sasa wanakazana kuua watu, n afrika ya kati ndio wanaua sana ndugu zetu, ila siku vikianza na sisi hapa tutawashughulikia kweli bwashee
Chadema ni wakatoliki watupu
Unataka kusema ni chadema ndio imeleta?Isije tu ikawa ninabishana hapa na kitoto cha 2010+
Kama akili yako inakuambia eti ccm imeleta amani kwenye hii nchi! Basi ni ushahidi tosha wewe ni hamnazo.
Kwani mufti anasemaje??Kwanini matamko yao yanaungwa mkono na viongozi wa dini?
Ni either wanaanza wao kusema au kutoa tamko na halafu viongozi wa dini flani wanaunga mkono na kusisitiza au wananza viongozi wa dini flani kisha wao wanaunga mkono na kusisitiza,
Tena hao viongozi wa hicho chama wanatoa matamko ya kuamrisha serikali na wala sio kushauri au kupendekeza
Yaani ni amri tu kwanini lakin
Waungwana msifute hii, acheni tujadili tupeane faida
Hao waislam wako wapi! Mbona kwenye huu uzi wako, hata CHAWA tu wasiojua kutofautisha kati kizuri na kibaya; wameshindwa kukuunga mkono.Mnachoweza ni kuhamisha magoli tu
Waislam wote ccm
Ajabu ni kwamba wakisema makafiri kimya, ila wakisema waislam sasa utasikia msichanganye dini na siasaKwani mufti anasemaje??
CHIEF PRIEST jamaa yako kala konaHao waislam wako wapi! Mbona kwenye huu uzi wako, hata CHAWA tu wasiojua kutofautisha kati kizuri na kibaya; wameshindwa kukuunga mkono.
Kwa hiyo wewe endelea tu kufurahisha genge. Nikiendelea kubishana na mjinga, nitaonekana na mimi ni mjinga kama wewe tu.
Ndugu, lazima utakuwa na tatizo la akili. Kama ungekuwa na akili timamu lazima ungekujua kuwa hapa Tanzania hakuna chama kinachoungwa mkono au kukataliwa na dini moja.Kwanini matamko yao yanaungwa mkono na viongozi wa dini?
Ni either wanaanza wao kusema au kutoa tamko na halafu viongozi wa dini flani wanaunga mkono na kusisitiza au wananza viongozi wa dini flani kisha wao wanaunga mkono na kusisitiza,
Tena hao viongozi wa hicho chama wanatoa matamko ya kuamrisha serikali na wala sio kushauri au kupendekeza
Yaani ni amri tu kwanini lakin
Waungwana msifute hii, acheni tujadili tupeane faida
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣CHIEF PRIEST jamaa yako kala kona
Nimeuliza swali mimi wala sikutaka kuungwa mkono, yeyote anaweza kujibu
Swali: je chama kile ni cha kidini?
Umenipunguzia like moja,Hao waislam wako wapi! Mbona kwenye huu uzi wako, hata CHAWA tu wasiojua kutofautisha kati kizuri na kibaya; wameshindwa kukuunga mkono.
Kwa hiyo wewe endelea tu kufurahisha genge. Nikiendelea kubishana na mjinga, nitaonekana na mimi ni mjinga kama wewe tu.