Hijab kwenye shule za kikristo

Hivi 'masista' wanavaaga nini?huwa natamani nione hata nywele zao
Unajua shule kama Mazinde Juu Lushoto masista wanavaa uniform kama wanafunzi wengine. Kilemba wala hijab siyo sehemu ya uniform.
 
Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Kweli
 
Imeshushwa ......ha ha ha
Kabla ya kucheka na kudharau fanya uchunguzi Ku verify the truth,,,,Quran haikuandikwa as normal books ,, malaika jibril(Gabriel ) alimshushia mtume Mohammad s.a.w akipewa order kutoka kwa Allah ,,,,KUJIRIDHISHA KUHUSU HILO FANYA UCHUNGUZI BINAFSI ,,, hata nuhu aliwaambia watu wake kuhusu mungu wakamcheka na kumdharau,, ila kilichowakuta ni story tunaesimuliwa had sasa

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Jibu la mtu lisikutosheleze kuamini kuwa huo ndio ukweli,,, kuna mwislam lkn ypo mbali na mafunzo ya dini yake,, so Ku prove ka nikweli Quran ilishushwa kwanza na malaika kabla ya kuandikwa fanya uchunguz huru ,,,,FANYA UCHUNGUZI KU PROVE JE NIKWELI QURAN ILISHUSHWA NA MALAIKA KABLA YA KUANDIKWA??

Uko sawa maan ofci za kiislam kwa mkristo kupata kazi ni inshuuu

Kumbe sheria za Mungu tu ndizo kikwazo kwako


Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Imeshushwa ......ha ha ha
Kwani mkuu naomba nikuulize hivyo vitabu vyengine kama bible zaburi na injili vilifikiaje binaadam kutoka kwa mola wao? maana kicheko chako kama vile hukubaliani na kushuswa kwa kuran toka mbinguni!
 
Ukitaka watoto wa kiislam wasivae hijab kwenye shule za kikristo kwa kuwa ni sheria basi kubali watoto wa kikristo pia wavae hijab kwenye shule za kiislam maana ni sheria. Usilete double standards hapa, Eboo!
 
Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Haahaaa wewe wa ajabu kweli mpaka salamu inakuumiza sa na wewe si uanze kusalimia kwa dini yako.kwani unaelewa maana ya "assalaam alaykum"ukiielewa utatamani kila mtu akusalimie [emoji13] [emoji13]
 
Na wewe mkristo unafuata nin shule za kiislam? Mkristo huyo hajielew hata kidogo. Ni mkristo jina ila si mkristo wa iman.
 
hijab ni vazi la heshima hivyo msichana wa kikristo kuvaa ni sawa tu
 
Hivi 'masista' wanavaaga nini?huwa natamani nione hata nywele zao
Hilo nalo ni neno,masister wanavaa vitambaa kichwani kama hijab kama ilivyokua Yesu kristo alikia anavaa kanzu
 
Huyo muislamu aliyeamua kwenda soma seminari za kikristo inabidi afuate kanuni zote za huko...si alipata muongozo na kanuni za shule? Na akakiri kuzifuata? Sio mtu anaamua kwenda soma huko halafu baadae anaanza kulialia mitaani na kwenye vyombo vya habari na wanaharakati nao wajazibika na kutaka kutembeza bakora!
Kisha maajabu yaliyoje ni kuwa utawakuta wengi wao wanaolazimisha kuvaa hijabu mashuleni, wakiwa mitaani twawaona vichwa wazi...Wengi hawajajua dhana timilifu ya hijabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…