JaffarMohammed
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 762
- 283
Ulishawahi kulazimishwa kuwa muislam? Ulishaona kwa macho yako mtu akichinjwa eti kaukana uislamu. Tatizo letu tunachukia dini kwa kusikiliza propaganda za vyombo vya habari. Hebu soma maandiko uilewe dini yetu nzuri.Hawa watu sinaga hamu nao, dini hailazimishwagi lakin sasa sio shida kukuchinja et umekana kuwa muislam aaaaaa wanaboa sana
Kweli nilikurupukaMbona naona kama vile hujaelewa nilichoandika. Hebu acha kukurupuka soma vizuri uelewe nilichosema.
nimesoma shule ya kanisa,
kwenda kanisani ni lazima sio ombi,
ole wako ukutwe bwenini wakati wengine wako kanisani,utachezea stick za kutosha tu
Tatizo kwenye uislam hamna neema, sharia zinatawala sana,.. agano la kaleUlishawahi kulazimishwa kuwa muislam? Ulishaona kwa macho yako mtu akichinjwa eti kaukana uislamu. Tatizo letu tunachukia dini kwa kusikiliza propaganda za vyombo vya habari. Hebu soma maandiko uilewe dini yetu nzuri.
Hao huwa wanajiona bora sana, Mwenyezi Mungu kawaletea Trump.Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili
Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.
Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?
Haki itendeke kote
Kwani ni kosa mtu kukutakia kheri?As-salam alaykum- Amani iwe kwako/kwenu,mbona huyo Yesu aliwasalimia hivyo mitume wake?Jifunze kabla ya kukosoaHao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Mkuu heshima kwako, mkuu ukisema hakuna haja ya kusitiri kichwa au magoti hebu rudi nyuma halafu tafakari, hivi hujawahi kusikia watu wakisifia sauti ya mwanamke falani ilhali hawajamwona? hapa nakusudia ya kuwa kama sauti peke yake inaweza amsha hisia flani kwa mwanaume vipi kichwa kilichobeba sura ya kuvutia? vipi magoti ambayo kwako hayavutii? Sisi wanaume kila mtu ana kitu ambacho ndio sumaku yake kwa mwanamke, na hapo ndipo uislam ulipoamuru mwanamke na ajistir mwili.wake woote kwa kuwa kila kiungo cha mwanamke ni uchi.Sio mbaya,ila wamezidisha kidogo.Jambo la msingi ni kusitiri maeneo ambayo yanaweza kumpa mwanaume kishawishi.Kwa mfano,kwa mwanaume wa kawaida kama mimi,sioni kama kuna haja yeyote ya mwanamke kufunika sehemu yeyote ya kichwa chake.Kwa kuwa sio sexually attractive.Hata chini ya goti more than one foot sioni haja ya kufunika kwa kuwa pia sio sexually attractive,unless na mimi nina shida.Frankly kujifunika gubi gubi ni kujipa mateso tu hasa kwenye sehemu zetu hizi za joto.Niseme hivi,God is more interested in your soul,not body as long as ume-dress kwa staha.Tusiwatese watu wengine kwa ajili ya kuficha udhaifu wetu.
Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili
Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.
Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?
Haki itendeke kote
Kumbe sheria za Mungu tu ndizo kikwazo kwakoTatizo kwenye uislam hamna neema, sharia zinatawala sana,.. agano la kale
Kumbe????Si kweli
Mfanovivyo hivyo kwa mwanafunzi mwenye imani ya Kikristo anapojiunga na shule zenye mlengo wa dini ya Islamic ni lazima afuate sheria na taratibu alizozikuta huko..
Tunaitumia sana tu,,, ndo maana pale kuna tafsiri ,,, lengo la kutumia lugha zote mbili yaani kiarabu na kiswahili nikuogopa kubadili maana halisi ya maneno yaliyoshushiwa hii dini,,,,quran imeshushwa kwa kiarabu na Allah kupitia jibril kwa kiarabu so,, Quran its pure ,,,not polluted like other scriptureHv kwann hamtumii lugha yenu??
Kubadili lugha hakupotez maana halisi ya nenoTunaitumia sana tu,,, ndo maana pale kuna tafsiri ,,, lengo la kutumia lugha zote mbili yaani kiarabu na kiswahili nikuogopa kubadili maana halisi ya maneno yaliyoshushiwa hii dini,,,,quran imeshushwa kwa kiarabu na Allah kupitia jibril kwa kiarabu so,, Quran its pure ,,,not polluted like other scripture
Imeshushwa ......ha ha haTunaitumia sana tu,,, ndo maana pale kuna tafsiri ,,, lengo la kutumia lugha zote mbili yaani kiarabu na kiswahili nikuogopa kubadili maana halisi ya maneno yaliyoshushiwa hii dini,,,,quran imeshushwa kwa kiarabu na Allah kupitia jibril kwa kiarabu so,, Quran its pure ,,,not polluted like other scripture