boyfriendy
JF-Expert Member
- Sep 9, 2012
- 1,988
- 1,034
Hali ilipofikia sio muda wa chombo cha uma kuelemea upande fulani itakula kwao, hali ilipofikia si kwa mtu mmoja mmoja kutoa kauli za kipumbafu iwe kwenye majukwaa au ata hadharani uko mitaani au humu kwenye mitandao itakuja kula kwao maana baadae hakuna neno "siku kusudia". Watu waachane na siasa za kizamani za chama kimoja, wapunguze mihemko yao na watumie akili na ufahamu wao pale anapotaka kutoa kauli. Hali mbaya vyombo vyote vya haki na sheria sasa hivi vimeshategesha macho yao ya tai hapa Tz