Hii You Turn Inatia Shaka

Hii You Turn Inatia Shaka

Fiesta ya nini tena na wasanii wameshafanya shows za bure kwenye Fiesta ya CCM?
Hakuna mwenye akili mbovu anayeweza kupoteza fedha zake kwa kuandaa fiesta ya pili maana ni hasara tu.
Wasanii wameshapiga show almost mikoa yote.

Tena this time around walikuwa na mnenguaji mpya anapiga hadi pushapu
 
Lowassa ndiye rais,nategemea kuona Uturn nyingi tu hata huku JF.
Fanyeni haraka kuungana na sisi jeshi la mabadiliko enyi wana wapotevu,muda bado haujaisha bado siku 23 tufanye mapinduzi.

Mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe.

Sisi tunangoja Magufuli kuapishwa tu.
 
  1. TBC Ilikua Inatangaza Habari fulani fulani tu lakini sasa ime you turn
  2. Kulikua na Mabango ya Kumkashifu Edo Yameondolewa
  3. RAIA MWEMA imefanya You Turn ya ghafla
  4. Humphrey Polepole amekuwa kimya ghafla
  5. mafuriko yanazidi kuongezeka uoande fulani
  6. ...........................................................

Wameheshimu agizo na onyo la tcra
 
Aliyekwambia wanafanyavshow za bure ni nani, ccm inawalipa kama hujui, we unadhani kwanini ray na aunt ezekiel wamerudi ccm, ni mavumba, hivyo wanalipwa tena pesa nyingi sana

Wise up ndugu! Bure anayoizungumziia niffa ni ya watizamaji!! Watizamaji ndio wameingia bure!! Hao wasanii ni obvious lazima walipwe, haiitaji rocket science intelligence kulijua hilo, hata fiesta za kawaida huwa wanalipwa na serengeti isipokuwa na watazamaji hulipa viingilio ili kwenda kuona show zao
 
Mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe.

Sisi tunangoja Magufuli kuapishwa tu.

Tena mkiingia mfyeke kila kitu tutabaki kiimya tu hutasikia tukilalamika manake hatuna namna, mpaka nchi ibaki jangwa hili,
 
Aliyekwambia wanafanyavshow za bure ni nani, ccm inawalipa kama hujui, we unadhani kwanini ray na aunt ezekiel wamerudi ccm, ni mavumba, hivyo wanalipwa tena pesa nyingi sana

Show za bure namaanisha watazamaji ndio wanaopata show za bure kwenye mikutano ya CCM.
Leo hii hao wasanii wakifanya show kwenye Fiesta nani atakayelipa pesa ya kiingilio ilhali keshapata show ya bure kwenye kampeni?
 
Wamefanya hivyo baada kuona watu wamekuwa masugu kwa lowassa hata watu wawaambie nini watu wanazidi kumpenda tu lowasa wakaona haya mambo tuwaachie wananchi waamue wakaona huko mbeleni wanaweza kuja kuumbuka. Na wanaweza kumtukana sana lowasa harafu baadaye anakuja kuwa rais wao sijui hapo sasa watakuwa wamefanya nini.
 
Mkuu hebu fafanua zaidi, unapataje huo muwashawasha ukimuona mamvi?

Hizi ndio akili za maCCM,umeshawaza mengine kabisa!
Haishangazi maana akili zenu zinawaza CHINI tu muda wote!
Mimi nimesema nachanganyikiwa wewe unaniletea habari za mshawasha....
Anyway,waza uwavyo ila ndio hivyo...
Penda sana Lowassa mimi.
 
Mkuu umeshuhudia mwenye chair wa NCCR jana alivyokuwa anaongea huku amebenjua midomo huku ananing'iniza mikono? Si bure pale yakheeee

Mbona wewe sio rizki toka upo school ile ya mikoroshini...
Endelea kuongea upuuzi wako niweke ushahidi.
 
Mkuu umeshuhudia mwenye chair wa NCCR jana alivyokuwa anaongea huku amebenjua midomo huku ananing'iniza mikono? Si bure pale yakheeee

Hivi Mh. Mbatia kakukosea nini jamani?Kila siku unaye humu asubuhi hadi jioni.
Nadhani hii iko personal zaidi maana its too much!
 
Gazeti pekee Tanzania ambalo mtu yeyote mwenye akili na hekima duniani kote,anaweza kutenga muda wake na kulisoma ni RAIA MWEMA.Wewe haulisomi vizuri na km unalişoma,unapitia tu headıngs.Kalisome tena wiki ijayo ama soma makala ya Mbwambo wk hii alafu urudi hapa.Ni gazeti linaandıka uhalisia na tafakuri jadıdi ya mambo.Toka mwanzo liko na wanamwongelea kila mmoja kwa uzito unaostahilı.

Si kweli wameanza kugeuka! Raia Mwema walikuwa against Edo, ila sasa wameanza kusoma upepo wanageuka wasijeachwa nyuma! Wanasoma alama za nyakati.
 
Wewe utakubali mwanao aolewe na jambazi kisa ana hela??Lowasa hatakuwa rais,nyie endelea na mbwembwe zenu!

..kitu gani kilichowashinda kumpeleka huyo jambazi polisi/mahakamani.?!
ok; kumbe mnamuogopa! that'z why nampenda sanaaaa......
 
Madai yao eti alikuwa ananunua watu,huyu mzee anakubalika bwana.
Yaani binafsi nikimuona nachanganyikiwa!Natamani atangazwe Rais tu nifuraaahi hadi nizimie!...lol

Jana nilienda mwembe yanga nikitokea kijichi sijanunuliwa hata sent. Lowasa anapendwa jamani,na kura yangu na familia yangu ni kwa lowasa tu.
 
Hii ngoma nzito mwaka huu. Kinachonishangaza na kunifanya nijiulize ni kuwa hivi mwaka huu fiesta haitakuwepo au ipo imebadilishwa jina .?
nI u TURN NYENGINE
 
jana nilienda mwembe yanga nikitokea kijichi sijanunuliwa hata sent. Lowasa anapendwa jamani,na kura yangu na familia yangu ni kwa lowasa tu.
usije kuwa umeficha kadi za familia yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom