Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nimesikia kwamba siku ya kuapishwa D.Trump kuwa Raisi wa USA hapo Januari 20. maraisi wote wastaafu wa USA walio hai isipokuwa J.Carter wamesusia kuhudhuria, hii imekaaje?
Je, hii siyo dharau kwa Raia wa USA? Kwani D.Trump ni Raisi aliyechaguliwa kidemokrasia na Raia wa USA, vipi kama ingekuwa imetokea Afrika tungesemaje? kama kawaida yetu Waafrika tungesema Waafrika tumeleeniwa, vp hapa napo Wazungu wamelaaniwa pia?