Hii ya Police Traffic Arusha imakaaje?

Hii ya Police Traffic Arusha imakaaje?

Ndugu yangu kama una muda mzuri fanya kama mimi, kusanya hizo notification, hakikisha unayempa pesa au fine whatever you call it, ameweka sahihi na majina yake yote. Mpe mda wa kula hizo pesa hata wiki mbili au tatu kisha uende kituoni kwake ukaonane na mhasibu ili kudai risiti yako ambayo ni halali yako. Kitakachotokea ni mhasibu kumpigia simu polisi aiyekukamata kwamba aiwakilishe pesa ili upewe risiti yako, cheki atakavyokubembeleza sasa myamalize maana hatakua nahiyo pesa

Wewe ulishafanya hivyo??
 
Wadau naombeni msaada! Hii ya traffic police inanipa shida kidogo kuielewa! Nimekwenda kulipa sumatra ukaguzi wa gari unafanyika kwa elfu 10, na ukienda kwa ajili ya loss report charge yake ni elfu 5, ambazo kwa taratibu za police hasa Arusha zinatakiwa zilipwe kwa mhasibu wa police! Taratibu mpya ni kwamba utakwenda kwa mhasibu atakupa bank sleep ambazo utakwenda kulipa NMB !
Majuzi nimekwenda kukaguliwa gari police kwa ajili ya kupata sumatra lakini taratibu nilizopitia nikama nilivyoeleza! Unapitia traffic then wanakuelekeza kwa mhasibu then NMB halafu unarudi kwa mhasibu unampa bank slip na yeye anakupa stakabadhi ya serikal ambayo utakwenda nayo kwa vehicle inspector atakagua gari husika na atakujazia form ambayo utaipeleka ofisi za sumatra!
Traffic Arusha wanasimama barabarani kwa kundi hadi la police 20 na wanatoza penalt magari hadi zaidi ya makosa matatu kwa gari moja, ambayo kwa mujibu wa sheria ni itakuwa ni 90,000 na kuendelea!
Tatizo langu lipo hapa , kama watahitaji loss report ya tsh 500 ilipwe bank! na bank slip ipelekwe kwa mhasibu ili upewe stakabadhi ya serikali! inakuwaje hizi nyingi zilipwe barabarani bila mhasibu but just police form as they call it notification? Je hivi ndivyo pesa za serikali zinakusanywa!
Traffic act zinatungwa na bunge na motor vehicle lisence haiko kwenye trafik act kama ikiisha muda wake, sababu TRA watakuadhibu wenyewe cha ajabu traffic Arusha wakucharge penalt ya motor vehicle! Je sheria za nchi hii zinaruhusu mtu aadhibiwe mara 2?
Wadau nisaidieni kama sheria za nchi hii zinaruhusu uadhibiwe na police na pia Sumatra ?

Naombeni mnijibu wakuu!

Huo ni wizi mkubwa wanaofanya traffic wa Arusha, road lisence kama umepitilizq muda wake wa kulipia kuna penalt unalipa ukienda kulipia kwa kipindi kinachofuata.
On top of that kuna misikule inaitwa majembe auction eti wamepewa mamlaka na TRA kuhusu kukamata magari ambayo road lisence zimeisha then wanakupiga faini sasa hapa ndiyo najiuliza, huyu majembe anakupiga fine ukienda TRA tayari kuna penalt ukija kwa traffic anakwambia kuna notification ambayo haina risiti ukiuliza risiti wanakwambia hawana au njoo ofisini kesho ukienda ofisini kwa muhasibu longolongo mizingusho inaanza.
Hapa nakwambia bila kuuwana hawatashika adabu nchi hii.
 
umasikini ndio unasumbua hamna kingine
lini sheria ikaingizwa kwenye siasa
Wadau naombeni msaada! Hii ya traffic police inanipa shida kidogo kuielewa! Nimekwenda kulipa sumatra ukaguzi wa gari unafanyika kwa elfu 10, na ukienda kwa ajili ya loss report charge yake ni elfu 5, ambazo kwa taratibu za police hasa Arusha zinatakiwa zilipwe kwa mhasibu wa police! Taratibu mpya ni kwamba utakwenda kwa mhasibu atakupa bank sleep ambazo utakwenda kulipa NMB !
Majuzi nimekwenda kukaguliwa gari police kwa ajili ya kupata sumatra lakini taratibu nilizopitia nikama nilivyoeleza! Unapitia traffic then wanakuelekeza kwa mhasibu then NMB halafu unarudi kwa mhasibu unampa bank slip na yeye anakupa stakabadhi ya serikal ambayo utakwenda nayo kwa vehicle inspector atakagua gari husika na atakujazia form ambayo utaipeleka ofisi za sumatra!
Traffic Arusha wanasimama barabarani kwa kundi hadi la police 20 na wanatoza penalt magari hadi zaidi ya makosa matatu kwa gari moja, ambayo kwa mujibu wa sheria ni itakuwa ni 90,000 na kuendelea!
Tatizo langu lipo hapa , kama watahitaji loss report ya tsh 500 ilipwe bank! na bank slip ipelekwe kwa mhasibu ili upewe stakabadhi ya serikali! inakuwaje hizi nyingi zilipwe barabarani bila mhasibu but just police form as they call it notification? Je hivi ndivyo pesa za serikali zinakusanywa!
Traffic act zinatungwa na bunge na motor vehicle lisence haiko kwenye trafik act kama ikiisha muda wake, sababu TRA watakuadhibu wenyewe cha ajabu traffic Arusha wakucharge penalt ya motor vehicle! Je sheria za nchi hii zinaruhusu mtu aadhibiwe mara 2?
Wadau nisaidieni kama sheria za nchi hii zinaruhusu uadhibiwe na police na pia Sumatra ?

Naombeni mnijibu wakuu!
 
Sasa matatizo yako ya maisha unatuletea hapa ya nini?
Wewe f.ala unafikiria kwa kutumia mata'ko. Mtoa mada, uliyosema ni sahihi.. Nilienda traffic police nikapata hilo tatizo pia. Suala la polisi wa arusha kujazana kwenye kituo kimoja barabarani lipo kila mahali.
 
Mimi nilikuwa traffic for five yrs na hilo ni moja ya makosa ambayo nilikuwa nayakamata sana
Kwa ufupi michango yako inakera sana jipange vizuri kabla ya kuchangia jf ina hadhi yake.
Kwa uelewa wako nadhani waliokukuta barabarani walionja joto ya jiwe,ni bora sasa ni historia.
 
Hivi wanaitwa Traffic Police au Police Traffic
 
Ndugu yangu kama una muda mzuri fanya kama mimi, kusanya hizo notification, hakikisha unayempa pesa au fine whatever you call it, ameweka sahihi na majina yake yote. Mpe mda wa kula hizo pesa hata wiki mbili au tatu kisha uende kituoni kwake ukaonane na mhasibu ili kudai risiti yako ambayo ni halali yako. Kitakachotokea ni mhasibu kumpigia simu polisi aiyekukamata kwamba aiwakilishe pesa ili upewe risiti yako, cheki atakavyokubembeleza sasa myamalize maana hatakua nahiyo pesa

sure Mkuu....that is my point.
 
Ndugu bottom line nu kwamba malipo yeyote lazima upewe stakabadhi or cash receipt na kwa serikali ni ile nyembamba ya rangi nyekundu hivi. sijui wanaita exchequer receipt. so notification sio stakabadhi. ukiandikiwa ile anatakiwa akupe risiti kama utatoa hela pale. otherwise unaibiwa.

that is the way it is, u r obsolutely right.
 
Hat siku moja trafic akikukamata muulize kosa,thn akuandikie,uende kulipia police,ukilipa road hazifiki oficn,kuhusu hiyo 500 kulipia bank hta mm hua naona ni bonge la usumbufu tu
 
Mimi nilikuwa traffic for five yrs na hilo ni moja ya makosa ambayo nilikuwa nayakamata sana

Ni kwa sababu ulikuwa hujui kazi yako ulikuwa unaendeshwa na tama ya rushwa na kama rushwa ni dhambi kama ya kula nyama ya mtu ukiinza tu hauwezi acha, na kudhihirisha hili ndio maana ulikula pesa za rambi rambi!
 
Kiutaratibu police wamepewa mamlaka ya kukamata makosa yote unayoyajua na imeainishwa kwenye traffic act cap 168,,ukiandikiwa notification ya traffic offences unatakiwa upewe hiyo form pf 101 ili akalipe kwa mhasib na wakati huo gari lako lipo mikononi mwa police alie kamata ukipewa stakabadhi utapeleka kwa askar alie iandikia hiyo gari ili ukabidhiwe gari yako kuendelea na safari,,zaman walikuwa wanatoa cku 7 za malipo lkn madereva wengi walikuwa hawaendi kulipa na hilo den lisipolipwa askar alieandika notification atawajibika,,hakuna pesa inayopotea kwan kila askar Wa usalama anapewa kitabu chake na kila mwisho Wa mwez vinakaguliwa na mhasb. Waamin kuwa wanafanya kazi vizur..hakuna adhabu mara mbili hapo
 
Chriss angalia mada za kuchangia kishabiki na mada za kuchangia kiungwana. Huu ni ufafanuzi wa hali halisi huko barabarani na wala hauna uhusiano wowote na ushabiki unaotaka kuuleta hapa, ama mwenzetu huishi hapa nchini nini? Jiheshimu tu ili heshima yako ipande.

Ss kama hajawahi/kumiliki chombo chochote cha usafiri lazima aongee utoko wake hapa; jambo la busara ni kumpuuza tu mtu kama huyu!!
 
Trafic wa Ar. ni noma. Wanaficha zile stika za nenda kwa usalama halafu wanakamata. Ukienda ofisini unaambiwa zimeisha ila kuna askari anayo kwa elfu 15. Unaamua kununua tu kitu cha elfu 3 kwa 15. Otherwise utakamatwa mara kibao na book 5 zitakutoka. Wizi hadi unapitliza.
 
Mimi nilikuwa traffic for five yrs na hilo ni moja ya makosa ambayo nilikuwa nayakamata sana
Very senseless and imbecile comment.
Unajibu kama Pwagu na Pwaguzi we kubwa jinga.
Ishu sio wewe kuwa trafic police au kuwahi kutoza hiyo fine, unatakiwa ujibu kwanini 500 ilipwe kwa taratibu za benki, wakati zile za barabarani zinapokelewa na askari mwenyewe?
Hovyo kabisa.
Ukila pesa za mjane lazima uwe Mbulumundu kama huyu mbulula.
 
Back
Top Bottom