mzalendokweli
JF-Expert Member
- Apr 21, 2012
- 579
- 138
Uliyatozea fine? kama ndio kwa sheria ipi?Mimi nilikuwa traffic for five yrs na hilo ni moja ya makosa ambayo nilikuwa nayakamata sana
Uliyatozea fine? kama ndio kwa sheria ipi?Mimi nilikuwa traffic for five yrs na hilo ni moja ya makosa ambayo nilikuwa nayakamata sana
Hat siku moja trafic akikukamata muulize kosa,thn akuandikie,uende kulipia police,ukilipa road hazifiki oficn,kuhusu hiyo 500 kulipia bank hta mm hua naona ni bonge la usumbufu tu
Ndugu yangu kama una muda mzuri fanya kama mimi, kusanya hizo notification, hakikisha unayempa pesa au fine whatever you call it, ameweka sahihi na majina yake yote. Mpe mda wa kula hizo pesa hata wiki mbili au tatu kisha uende kituoni kwake ukaonane na mhasibu ili kudai risiti yako ambayo ni halali yako. Kitakachotokea ni mhasibu kumpigia simu polisi aiyekukamata kwamba aiwakilishe pesa ili upewe risiti yako, cheki atakavyokubembeleza sasa myamalize maana hatakua nahiyo pesa[/QU Mkuu nakubaliana nawewe hawa jamaa njaa sana dawa yao ni hiyo, pia tatizo madereva wengi hawajui vifungu vya sheria so wanakamtwa hata kwa kutobeba leseni
Very senseless and imbecile comment.
Unajibu kama Pwagu na Pwaguzi we kubwa jinga.
Ishu sio wewe kuwa trafic police au kuwahi kutoza hiyo fine, unatakiwa ujibu kwanini 500 ilipwe kwa taratibu za benki, wakati zile za barabarani zinapokelewa na askari mwenyewe?
Hovyo kabisa.
Ukila pesa za mjane lazima uwe Mbulumundu kama huyu mbulula.