Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,540
- 8,290
Wakati Rais Magufuli anatoka baada ya kikao cha SADC alipita mbele ya viongozi pamoja na wastaafu kuwasalimu na kuwapa mkono, akina Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Warioba, Majaliwa, nk.
Ajabu Rais alipofika kwa makonda RC Makonda akapiga salute ndo akampa mkono Rais tofauti na walivyofanya viongozi wengine, hii style ya Makonda huwa naona wanafanya akina Sirro, Mabeyo na maaskari wengine, hata yule mchungaji bosi wa TISS hafanyagi hivyo.
Sasa hii ya leo ya makonda kupiga salute ni mbwembwe tu ama ni nini?