Hii ya Makonda kupiga salute imekaaje?!

Hii ya Makonda kupiga salute imekaaje?!

Wakati Rais Magufuli anatoka baada ya kikao cha SADC alipita mbele ya viongozi pamoja na wastaafu kuwasalimu na kuwapa mkono, akina Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Warioba, Majaliwa, nk.

Ajabu Rais alipofika kwa makonda RC Makonda akapiga salute ndo akampa mkono Rais tofauti na walivyofanya viongozi wengine, hii style ya Makonda huwa naona wanafanya akina Sirro, Mabeyo na maaskari wengine, hata yule mchungaji bosi wa TISS hafanyagi hivyo.

Sasa hii ya leo ya makonda kupiga salute ni mbwembwe tu ama ni nini?
ni signo zao za kichawi huko Kolomije!
 
mchecheto tu wa kibashite, alichanganyikiwa asijue aseme 'shikamoo daddy' au ampe tu mkono au amkumbatie kwa furaha. matokeo yake ndio hayo
 
Wakati Rais Magufuli anatoka baada ya kikao cha SADC alipita mbele ya viongozi pamoja na wastaafu kuwasalimu na kuwapa mkono, akina Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Warioba, Majaliwa, nk.
Ajabu Rais alipofika kwa makonda RC Makonda akapiga salute ndo akampa mkono Rais tofauti na walivyofanya viongozi wengine, hii style ya Makonda huwa naona wanafanya akina Sirro, Mabeyo na maaskari wengine, hata yule mchungaji bosi wa TISS hafanyagi hivyo. Sasa hii ya leo ya makonda kupiga salute ni mbwembwe tu ama ni nini?
Amezoeleka kufanya kama akili yake inavyomtuma
 
Labda ni sehemu ya Ilani yao mpya ambayo ilimpeleka Misri kwenda kung'aa macho na kubugia magoli.
 
Wakati Rais Magufuli anatoka baada ya kikao cha SADC alipita mbele ya viongozi pamoja na wastaafu kuwasalimu na kuwapa mkono, akina Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Warioba, Majaliwa, nk.

Ajabu Rais alipofika kwa makonda RC Makonda akapiga salute ndo akampa mkono Rais tofauti na walivyofanya viongozi wengine, hii style ya Makonda huwa naona wanafanya akina Sirro, Mabeyo na maaskari wengine, hata yule mchungaji bosi wa TISS hafanyagi hivyo.

Sasa hii ya leo ya makonda kupiga salute ni mbwembwe tu ama ni nini?

Kuna saluti za kiraia na saluti za kijeshi. Kama alipia saluti ya kijeshi alitakiwa awe amisimama katika pozi ya attention, halafu awe amevaa uniform kamili ya kijeshi, yaani viatu, suluari, shati na kofia.Saluti ya kijeshi ina miondoko yake, yaani mkono wa kulia lazima uanzie kwenye paji la uso na halafu kusushwa kwa nguvu uonyooke sawa sawasa na mguu wa kulia. Sasa kama alipiga saluti za kiraia, anaweza kupiga hata akiwa amelala kitandani, ni kiasi cha kunyoosha mkono wowote ule, na hakuna formula yoypte; anaweza kuuweka mkono mmoja au yote kichwani, usoni au hata kuipunga tu
 
Wakati Rais Magufuli anatoka baada ya kikao cha SADC alipita mbele ya viongozi pamoja na wastaafu kuwasalimu na kuwapa mkono, akina Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Warioba, Majaliwa, nk.

Ajabu Rais alipofika kwa makonda RC Makonda akapiga salute ndo akampa mkono Rais tofauti na walivyofanya viongozi wengine, hii style ya Makonda huwa naona wanafanya akina Sirro, Mabeyo na maaskari wengine, hata yule mchungaji bosi wa TISS hafanyagi hivyo.

Sasa hii ya leo ya makonda kupiga salute ni mbwembwe tu ama ni nini?
Kama kapiga salute ni kosa, but si unajuwa kuna kukosea? Salute hutoka kwa utaratibu wa kijeshi.
Huwezi piga saluti Kama hauko properly, yaan umekamilika, kuanzia kofia. Kama huna kofia utabana mikono, Kama hujavaa kabisa Na ni askari ni utaratibu huo huo wa kubana. Mengine ni kutokujuwa. Atafundishwa Na ataelewa
 
Mazuzu ndio yanafaa kujadiliwa kwasababu ndiyo ambayo huchepusha mijadala ya muhimu kwa taifa. Ni muda umefika Sasa wakujua who is makonda?

Wewe ndo zuzu. Mana tunajua kuwa Watu wote hunyenyekea wakubwa. Au hata wadada warembo Pale unapotaka mhhh. Shida hatuwajui Basi kila neno mnaweza Sema. Ila wasema sema watu wengi ni dhaifu sana. Tena wanasuffer hizo Hali wanazopenda kuwatangazia wenzao nyuma ya Tecno.
 
Wakati Rais Magufuli anatoka baada ya kikao cha SADC alipita mbele ya viongozi pamoja na wastaafu kuwasalimu na kuwapa mkono, akina Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Warioba, Majaliwa, nk.

Ajabu Rais alipofika kwa makonda RC Makonda akapiga salute ndo akampa mkono Rais tofauti na walivyofanya viongozi wengine, hii style ya Makonda huwa naona wanafanya akina Sirro, Mabeyo na maaskari wengine, hata yule mchungaji bosi wa TISS hafanyagi hivyo.

Sasa hii ya leo ya makonda kupiga salute ni mbwembwe tu ama ni nini?
Nijie nipate kiki!
 
Back
Top Bottom