Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,441
- 166,939
Shoga ngongingoWrite your reply...Kumjadili shoga ni kupoteza muda bure!
Shoga ngongingoWrite your reply...Kumjadili shoga ni kupoteza muda bure!
Ni kweli! Nlimuona MANARA ile siku ya SIMBA DAY...alivokuwa anajichetua akiwa na Mo kule chini!
Mkuu katika comments zote kwenye uzi huu, wewe umenyoosha maneno, ingawa umetumia lugha ngumu kidogo. Ninakupa big up.Wewe ndo zuzu. Mana tunajua kuwa Watu wote hunyenyekea wakubwa. Au hata wadada warembo Pale unapotaka mhhh. Shida hatuwajui Basi kila neno mnaweza Sema. Ila wasema sema watu wengi ni dhaifu sana. Tena wanasuffer hizo Hali wanazopenda kuwatangazia wenzao nyuma ya Tecno.
Saluti hutolewa na aliye katika majeshi, jaribu kuelewa mantiki ya kinachoongelewa.JPM si amiri jeshi bwana. Hata hao kina chikwete walipaswa watupie salute.
Makonda kuwa kiongozi wa kamati ya usalama ya mkoa naye kashajiona mwanajeshi.Wakati Rais Magufuli anatoka baada ya kikao cha SADC alipita mbele ya viongozi pamoja na wastaafu kuwasalimu na kuwapa mkono, akina Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Warioba, Majaliwa, nk.
Ajabu Rais alipofika kwa makonda RC Makonda akapiga salute ndo akampa mkono Rais tofauti na walivyofanya viongozi wengine, hii style ya Makonda huwa naona wanafanya akina Sirro, Mabeyo na maaskari wengine, hata yule mchungaji bosi wa TISS hafanyagi hivyo.
Sasa hii ya leo ya makonda kupiga salute ni mbwembwe tu ama ni nini?
Hiyo haikuwa salute ya kijeshi pia.Saluti hutolewa na aliye katika majeshi, jaribu kuelewa mantiki ya kinachoongelewa.
Yes,ni sawa na kumwambia mtu aliyefanya vizuri kuwa umetisha Salute kwako.
Hivi nyie katika maisha yenu hamjawahi kuwa chini ya watu wengine?
Ni mbwembwe za kawaida katika kujinyenyekeza kulikopitiliza ili kumuonesha mkubwa wako kwamba yupo/amefanya vizuri.
Ni sawa na kusema, mkuu umefanya vyema sana, hotuba nzuri sana sana, na mambo mengine kama hayo.
Na Kujipendekeza huzaa Unafiki na Unafiki huzaa Dhambi na Dhambi huzaa mautiIkitokea huna elimu au ujuz wowote na umezaliwa katika familia yenye kipato kidogo njia pekee ya wewe kufanikiwa ni KUJIPENDEKEZA either kwa bosi wako au mtu yeyote mwenye uwezo
Kama si regional commander ye ni nani hasaaNa huwa kila anachofanya ina atoa ishara yeye si ndo regional comando
Wakati Rais Magufuli anatoka baada ya kikao cha SADC alipita mbele ya viongozi pamoja na wastaafu kuwasalimu na kuwapa mkono, akina Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Warioba, Majaliwa, nk.
Ajabu Rais alipofika kwa makonda RC Makonda akapiga salute ndo akampa mkono Rais tofauti na walivyofanya viongozi wengine, hii style ya Makonda huwa naona wanafanya akina Sirro, Mabeyo na maaskari wengine, hata yule mchungaji bosi wa TISS hafanyagi hivyo.
Sasa hii ya leo ya makonda kupiga salute ni mbwembwe tu ama ni nini?