Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,964
- 27,502
Unadhani makonda Ni mtumishi was kawaida "fikirisha kichwa"
Ni kweli kwenye nchi zinazojitambua CDF na IGP wasingefumbia macho udhalilishaji huo wa majeshi. Lakini kwa vile hao wote kwa muonekano ni kama wako chini ya "Mtoto wa Ikulu" hutasikia chochote.Kwasababu ni taifa la wajinga yote yanawezekana
Nahisi alimaanisha hivyo usemavyo
Hivi nyie katika maisha yenu hamjawahi kuwa chini ya watu wengine?
Ni mbwembwe za kawaida katika kujinyenyekeza kulikopitiliza ili kumuonesha mkubwa wako kwamba yupo/amefanya vizuri.
Ni sawa na kusema, mkuu umefanya vyema sana, hotuba nzuri sana sana, na mambo mengine kama hayo.
Hivi sky, DB akikutokea unaweza ukamtolea nje kweli weweDaudi Bashite haishi vituko
Mkuu nitake radhi ninamzaa DaudiHivi sky, DB akikutokea unaweza ukamtolea nje kweli wewe
?
Maana shajifunza kitu, mtu yeyote anayeponda kitu hadharani au kulaani jambo, usimwamini moja kwa moja.
Wawezakuta jambo analolikemea kumbe yeye ndiyo 'maradhi' yake, ndo'analolipenda kwa dhati toka katikati ya moyo wake.
Ref: wachungaji na mashehe kufumaniwa wakitenda dhambi wanazoasa waumini wao kujiepusha nazo!
Pole.Mkuu nitake radhi ninamzaa Daudi
Wakati Rais Magufuli anatoka baada ya kikao cha SADC alipita mbele ya viongozi pamoja na wastaafu kuwasalimu na kuwapa mkono, akina Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Warioba, Majaliwa, nk.
Ajabu Rais alipofika kwa makonda RC Makonda akapiga salute ndo akampa mkono Rais tofauti na walivyofanya viongozi wengine, hii style ya Makonda huwa naona wanafanya akina Sirro, Mabeyo na maaskari wengine, hata yule mchungaji bosi wa TISS hafanyagi hivyo.
Sasa hii ya leo ya makonda kupiga salute ni mbwembwe tu ama ni nini?
Ushamba, bilashaka hana tofauti na mshamba mwingine anayevaa gwanda la jeshi na ndala
Nikiwa raisiMnamjadiliBASHITE zuzu la mji?
Hebu tumuache, anatafuta tu kick
Sio mbaya akiwa "Marioo"Mkuu nitake radhi ninamzaa Daudi
Makonda ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinziWakati Rais Magufuli anatoka baada ya kikao cha SADC alipita mbele ya viongozi pamoja na wastaafu kuwasalimu na kuwapa mkono, akina Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Warioba, Majaliwa, nk.
Ajabu Rais alipofika kwa makonda RC Makonda akapiga salute ndo akampa mkono Rais tofauti na walivyofanya viongozi wengine, hii style ya Makonda huwa naona wanafanya akina Sirro, Mabeyo na maaskari wengine, hata yule mchungaji bosi wa TISS hafanyagi hivyo.
Sasa hii ya leo ya makonda kupiga salute ni mbwembwe tu ama ni nini?