Hii ya leo kali sana sana

Lakini umeona afande alivyowekwa kifo cha mende isingekuwa huyu mwanajeshi trafiki angepigwa miti.
 
Kwa mujibu wa police jamaa yuko hospital banda ya kushambuliwa na wananchi waliochukizwa na kitendo cha jamaa kumshambulia traffic police! SERIOUSLY🤔🙌🏿

Hapa kuna shida na kuna jambo baya linaandaliwa kwa jamaa
1.Eneo lililpotokea ni la jeshi ambapo kuna wananchi wachache sana

2. Picha zinazotembea mitandaoni ni za watu wawili waliokwidana chini. Hakuna picha zinazoonesha huyo jamaa akishambuliwa na wawananchi

3. Kwa hali ilivyo toka October 29 no wananchi gani wanaweza
Kumshambulia mwenzao anayemshikisha adabu police? Kea mikono tuu!?


4. Hivi jioni akitolewa hospital na kupelekwa mahabusu na usiku akirudishwa hospital akiwa hajitambui wakasema alizidiwa .. Si wanatupanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…