Hii ya Juma Pinto Inatisha

Mkuu Kido kidole007 hayo ni kweli!, ila utajiri na umasikini is just an atitude of mind!, ukiwaza kimasikini, unaishia kuwa masikini kweli, lakini ukiwaza kitajiri, unakuwa tajiri kweli, hivyo if you wan't to get rich, you'll be rich!, but to be rich you got to start thinking like rich, behaving like rich, once you think like rich, richness will come to you, you'll have to get rich, if not, you'd rather die trying such that if you can't get rich, unaishi ili iweje?!, better be dead than being poor!, kuna type fulani ya umasikini ni laana!, bora try, ukifa on tying, na ukifika mbinguni angalau mule utapewa utajiri kwa sababu you died trying to be rich!, ila ukiridhika na umasikini, ukifa, wewe ni straight motoni!, kwa sababu utaonekane uliridhika!.

Matajiri wote wataendelea kuwa matajiri hadi mbinguni, na masiki vivyo hivyo, ndio maana makanisa ya sasa ya kina Rwakatare, Mzee wa Upako, Gwajima, etc, yote, badala ya ufalme wa Mungu, sasa yanahubiri utajiri tuu na sio umasikini tena!.

Pasco.
 
nilichomuelewa .. Pasco anasema pata pesa kwa style
yoyote hata kwa njia ambazo siyo we tafuta tu...halali si halalI sawa, sawa tu
mfano huyo tanil somaiya si unaona alienda ikulu na hiyo sijui red ferari yake wakati huo huo jamaa huyo ni wanted na interpol
 
Last edited by a moderator:

Yah i agree
Lazima niwe tajiri any how
Richness ndio kipimo cha kuwa successful duniani
whether una ideas nzuri kiasi gain
Elimu kubwa kiasi gani without being rich you'll be just another sorry ass dude

Kuwa rich had mbinguni lol
I won't comment
Never been into heaven
 
Pasco sio lobbying zote ni tatzo nimeona umejaribu kuonyesha kwamba hutaki kufanya lobbying ya aina yoyote. hata kwa walioendelea hua zinafanyika ila wewe unaepewa upendeleo unatakiwa uperfom to the maximum
Mkuu Shark, sio upendeleo, but ni "getting connected!".

Sifa kubwa ya mwandishi mzuri wa habari, anatakuwa kuwa na "nose for news", yaani pua ya kunusia habari!, baada ya kufanya kazi newsroom, hiyo pua zaidi ya kunusa habari, pia una nusa harufu ya "ankara!", hivyo mwanzo unaanza na habari na "ankara", baadae unaachana na kunusa habari, utanusa zile tuu habari zenye "ankara!", ndia maana zikifanyika semina, warsha, makongamano na mikutano, waandishi kibao kwa sababu ya "ankara!" kwenye tule tuji little brown envelopes!", ukifanikiwa kunusa "ankara" pekee, hii sasa ndio inaitwa "opportunities!", unachangamkia tenda na sio unapewa au kuletwa kwenye kisahani cha chai!, na kuna watu wanaodhani ni rahisi!, kukamata tuu microphone na kupiga blah blah!, au kukamata tuu kalamu na kuandika!, no way, ili pesa zije, lazima ufanye kazi haswa, and you have to be good!, Pinto is good kuchangamkia michongo!.

Na wengi huanzia kwenye to work hard to make money!, ukiisha zitengeneza za kutosha, you don't have to work all that hard kuziongeza ili ziziishe, but now you have to use money to work for you!, ndio ukifika mahali, unakimbiliwa kuhudumiwa, huongei wewe, pesa itaongea!, ndipo jamaa kashangaa yuko kwenye foleni, watu wanakimbizana kukimbilia mabegi, kuyapitisha off the screen!.

Ukiwa na pesa, unanyenyekewa, unageuka mfalme!.

Pasco.
 
huo utajiri mpaka mbinguni hapo kidogo naahhhhhh
ya mbinguni hakuna ajuaye
 

Mimi ni mmoja wa Watu wanaokuelewa sana, kwa maana ya content za post zako.
Vumilia tu, si kila mtu atakuwa na uelewa wa.kusoma between the lines!!

Sijui wangapi wanajua ulikuwa na kipindi matata cha kitimoto kilichompa hasira sana che Mkapa. By the way, mara moja moja uwe unakumbushia yaliyokuwa yanatokea nyakati hizo DTV.
 
Wanted ni front man wake anayeitwa Vithlani!, hawa matajiri wakubwa wana operate the mafia way!, unamtanguliza mtu baki ili dili iki backfire, wewe you will be safe.

Hata kwenye zile bilioni 40 za Kagoda, paper work zote zina majina ya ile legal firm tuu, the big boss ni safe, na ndio hao wanaopaki magari hadi ndani ya ikulu yetu huku mawaziri na mabalozi wakisongana huko nje!.

What matters ni kuwa na fedha!, ukiwa nazo wewe ndio kila kitu!,

Hamuoni jinsi ilivyo ngumu kupata appointments na mabalozi, wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, lakini kila uchao, mtashuhudia mabalozi hawa hawa wakiwa ofisini kwa kina "fulani" kwenda kusalimia!, unadhani ni nini hicho kama sio pesa!.

Tatizo la pesa nazo, when you have them, you want more, when you get more you want power!, hapo ndio kina Mkono, kina MO, kina Ndesa, EL etc kukimbilia kwenye siasa!.

Msishangae 2015 dogo akatinga bungeni!, then waziri, na ikaundwa set nyingine ndogo ya Boyz II Men, wa 2025!.

Pasco
 

Pasco I like your mother fcn post...ha ha ha
 
Mkuu Plato, thanks, lakini yule wa "Kiti Moto" ni jamaa yangu!, mimi Pasco tuu wa JF!.

Ila nitamwambia huo ushauri wako na utamfikia!.

Pasco.
 
mkuu Pasco labda nkuambie tu katika dunia hii tunayokwenda hakuna assets kubwa mtu ambayo atakua anajivunia kama kua connected kuwa na vibopaz netwek. yaan incase unamjua mtoto wa rais let say ukawa na mtu mzito polisi kisha jirani yako ni dakitari sio huu wa diamond ule wa mahospital kisha una mawaziri wanne ni jamaa zako hapo ukifa njaa umependa
 
Last edited by a moderator:
get rich or die trying....imeniklik tena akilini maana kila unapo jaribu kucheza fair play mambo hayaendi
zamani tulicheza rafu tukapewa red card sana....ila tunapoelekea ahhh sijui itakuwaje
in short kufanikiwa kihalali ni ngumu sana... Pasco
 
Last edited by a moderator:
Sisi wengine ni kina "Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!", we have all the opportunities na fursa za kuwa matajiri, lakini hatuzichangamkii, hatuzitumii, wenzetu wakizichangamkia fursa, tuna mind!.

Sio wengi wanaojua kuwa yale maghorofa yote ya uhindini ni ya Wahindi, walikuja nchini kama makuli tuu wa ujenzi reli ya kati, nyumba zote za Kariakoo, zilikuwa za makuli wa bandarini!. Ukiangalia jinsi wazungu, Wakenya na Waganda wanavyochangamkia fursa za gesi asili, huku wenyewe tumebweteka, hutaamini, angalia jinsi Wachina wanavyomiminika!, walinzi korokoroni zamani walikuwa Wamakonde, sasa ni Wamasai wa Kenya!. Ma shamba boy na ma tx (beki 3), zamani walitoka Iringa, sasa ni Wamalawi!. Wale wadada waliotawala soko la ile biashara ya usiku, sasa soko linashikwa na Waganda ndio wenye guts za kukaa counter za Kempinski na Serena huku wakivuta US $ 1000 per night!, huku dada zetu wakisongamana pale Corner Bar kwa TZS 50,000 per night, 20,000 per short time au just 5,000/= kwa babu, pale nje kwenye contena mnamalizana wima wima!.

Tanzania tulipata uhuru wakati mmoja na nchi za Tiger, Singapore, Malaysia, Thailand, South Korea, they had nothing in terms of natural resources, we had everything!, sasa 50 years letter, look at us compared to wenzetu!, sijui wangapi wanajua kuwa mbegu ya michikichi ya Malaysia ilitoka Tanzania!.

Mpaka leo, Tanzania bado ni virgin land, the land of endless opportunities, wenyewe hatuna macho kuziona fursa na kuzichangamkia, wenzetu wenye macho wanaziona na kumiminika!, huku sisi sisi tunakalia kulalamikia tuu kuhusu huu umasikini!.

We, Tanzanians lets wake up and get rich!, or rather, we better die trying!.

Pasco.
 
get rich or die trying....imeniklik tena akilini maana kila unapo jaribu kucheza fair play mambo hayaendi
zamani tulicheza rafu tukapewa red card sana....ila tunapoelekea ahhh sijui itakuwaje
in short kufanikiwa kihalali ni ngumu sana... Pasco
Just keep trying!, hata matajiri wengi unaowajua usifikiri wote wamecheza fair play tu za gemu halali pekee!, ikibidi kucheza rafu kidogo, cheza rafu ukiwin itumie hiyo rafu kucheza fair play!, hebu fikiria njia JK aliyoitumia kufika Ikulu, think of EPA, angalia role ya Salva pale Mtanzania, fikiria walichomfanya Dr, Salim, etc, now the game is over, angalia sasa wako wapi, si ni wanakula kiulaini!. Vivyo hivyo ndivyo huyu kijana alivyoanza na hardships za London, kaunyaka mchongo kachangamkia fursa sasa ni mmiliki wa gazeti!, na kiukweli nadhani hata hilo gazeti ni zunga tuu, sidhani kama lina circulation na kumuwezesha kuungurumisha zile mashine anazosukuma hapa mujini, ila muhimu ni halali mbele ya macho ya watu iwepo, ili kuepuka maneno maneno ya wanga na walimwengu kama hawa humu!, what matters the most is the end!, justify the means!.

Ukiwana nazo, unazo!.

Pasco.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…