Hii ya BBC inauma kwa Mwenye utu

Hii ya BBC inauma kwa Mwenye utu

Kiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
459
Reaction score
62
WanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.

Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .

Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?

Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?
 
Kama walikuwa wanajijua ni watanzania au wanavibari vya kuishi nchini kwetu, kwa nini waliondoka? hakuna cha huruma hapa, lazima waheshimu taratibu za kuishi katika nchi ya kigeni.
 
Atuwataki watutsi hapa Tanzania,hawana shukrani.
 
Huyu nampesya ni mnyarwanda ndugu zake wote wapo ngara nawajua sana.
 
Watu wengine bwana....sasa mkuu mleta mada tatizo lako liko wapi hapa? Kumbuka kuwa anytime unaona watu wanakurupuka kukimbia sheria basi juwa hapo kuna tatizo. Hawa watu kama kweli wangekuwa watanzania ama neutralized raia wala wasingekimbia kwani walioambiwa waondoke ni wale tu waishio nchini kinyume na sheria, na walipewa muda wa kujiandaa kuondoka siyo kama walifukuzwa kwa mapanga na viwembe. Kuna kosa hapa?
 
Waafrika tuungane,sisi ni ndugu,tusibaguane, tusipigane,watu wa mabara mengine wanatuita waafrika, bila kujali nchi tunazotoka.Shida ya sasa ktk Afrika ni kuongozwa na wanasiasa wenye fikra mgando tofauti na kina Nyerere, Kwame Nkurumah,Kaunda,Samora,Ghadafi n.k.waliopigania umoja wa Afrika. Kama watu wa Ulaya wanahitaji umoja sisi tunahitaji zaidi.AMANI NA UPENDO
 
Mkuu nimeona hapa jf watu wana roho mbaya sana.huku tunanyenyekea waarabu,wazungu,waasia.Na kuwatupa ndugu wa damu,jirani yako.Tumwogope Mungu jamani.
 
Sasa kwa sababu walikaa miaka 25 unataka tuwape utanzania then waje watuletee matatizo kama ya kongo kujidai watambuliwe hapo ni kwao kumbe walikuja na ukimbizii...NO way warudi tu kwao ..kwani kwao kuna nn mbona hawakupendi wamekazana kulalama tu eti wamefukuzwa????kwani wao ni wakwanza kufukuzwa huku afrika????waghana na wanigeria walishafukuzana sana miaka ya nyuma...basi na ss tumeamua tu waende salama hata wangekua wamekaa miaka 1000 haijalishi hao sio wa huku warudi tu kwao wakabanane vizuri....chezea wabongo ww na bado wataisoma namba teeehteeh.
 
Mkuu sheria za u raia na sheria za ukimbizi unazifahamu?. Kama hauzifahamu ungeenda kuzisoma kwanza kwa kirefu.Umesema hao watu wengine wapo Tanzania kwa zaidi ya miaka 25,Kwa faida yako na wengine nakumegea kidogo sheria ya uraia kwa kuzaliwa. Inasema mtu yoyote akizaliwa hapa nchini ingawa wazazi wake ni wa asili ya nchi nyingine,anakuwa moja kwa moja ni raia kwa kuzaliwa. LAKINI mtu huyo,akifikia umri wa miaka 18,atatakiwa kwenda uhamiaji na kufuata utaratibu wa KUUKANA URAIA WA WAZAZI WAKE ILI ABAKI NA URAIA MMOJA TU. Jambo hili wote wanaorudi makwao walikuwa hawataki kulifanya hata baada ya kuelezwa,je tuwaeleweje,kweli wameonewa hapo?. Inasemekana Jenerali Ulimwengu alikuwa na kesi kama hiyo hapo juu,lakini alipoelekezwa alielewa akafuata masharti na sasa ni raia halali wa Tanzania!

WanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.

Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .

Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?

Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?
 
SHORT and CLEAR busara haikutumika NI MAAMUZI YA PUPA YALIFANYWA, NI WAPIGA KURA WETU HAO,mbona waarabu wanakuja tz wanakaa 2yrs unasikia ANA URAIA,hata kama ni ujambazi uliokuwa umekithiri ktk ukanda huu TZ huwa tunataratibu zetu za misako mikali ya kijeshi,upigiaji wa kura kwa wanaohisiwa nk,BUT kwa upande mwingine PK alitoa tusi baya kwa JK ktk hali zetu za KIBINADAMU NA KWA USHAURI MDOGO TU AMBAO ALIKUWA ANA HIYARI YA KUUKATAA, PK HAKUFANYA JEMA, HAIVUMILIKI,hivyo kuna posibility kubwa maamuzi haya yalitolewa ktk hali ya HASIRA,kuombana radhi ndio jadi ya ua-AFRICA
 
Waafrika tuungane,sisi ni ndugu,tusibaguane, tusipigane,watu wa mabara mengine wanatuita waafrika, bila kujali nchi tunazotoka.Shida ya sasa ktk Afrika ni kuongozwa na wanasiasa wenye fikra mgando tofauti na kina Nyerere, Kwame Nkurumah,Kaunda,Samora,Ghadafi n.k.waliopigania umoja wa Afrika. Kama watu wa Ulaya wanahitaji umoja sisi tunahitaji zaidi.AMANI NA UPENDO

Ubinafsi umetujaa
 
Back
Top Bottom