Hii Ya Askofu G ndio inaitwa Jeuri

Hii Ya Askofu G ndio inaitwa Jeuri

Kuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI.

DHARAU ni kitu chepesi sana dharau anakua nayo mtu yeyote,...ndio maana Wanyakusya hua mnasema wandharau 😁..hakuna Mnyakusya Jeuri au mweye kiburi so elewa dharau unaweza ipata kwa mtu yeyote.

Ila kuna kitu inaitwa UJEURI hii anakuaga nayo mtu JASIRI tu hii wanayo sana Wasukuma na wakurya😂
Na mtu JASIRI ni mtu always hua ana uhakika na kile anakisema au kukiamini.
Cc:Samia
Gwajima kafanya aliyoyafanya kwa sababu ana-resource za kujilinda kama walinzi mwangalie mdude pale kwake hana ulinzi ndo maana ilikuwa rahisi kumvamia ila ni ngumu kwa gwajima sababu ya ulinzi aliokuwa nao

Mimi na wewe tukiongea kama gwajima tunapotezwa hatuna ulinzi na hatujulikani

Sifundishi watu uoga bali unatakiwa ujue uhalisia kwanza
 
Bahati mbaya umeandika kwa English.
Ni kipande muhimu cha Historia ya Dunia.
Nilibahatika kwenda kwenye Mjumba wake (Konopiště Castle) huko Czech Republic na ndipo nilijua hii Historia nzima.
Baba yake alijua lakini kwamba Archduke anakwenda kuuawa na Black Hand wa Serbia. Baba alikuwa anatafuta sababu ya kuanzisha Vita na Serbia ili aitawale.
Alipoishambulia Serbia, Urusi akaja kumsaidia Serbia. Austria alipozidiwa, German akaja kumsaidia.
Vita ya kwanza ya Dunia tayari......
No Reform No Election yaweza kuwa ndiyo chanzo, baadaye kukamatwa kwa Lissu, kesi yenye Utata Mahakamani, Wageni kutoka Kenya na Uganda kuja kwenye kesi na kudakwa na sasa kaibuka GwajiBoy.
Nadhani tutaelewa hivi karibuni ukweli.
Hakuna jipya Duniani, Historia hujirudia.
Gavrilo Princip - a Bosnian Serb student who set a chain of events that resulted in the WWI.

He assassinated Archduke Franz Ferdinand, heir presumptive to the throne of Austria-Hungary, and his wife Sophie, Duchess von Hohenberg, in Sarajevo on 28 June 1914.
 
Tofautisha kutumia hisia na kuwa jasiri unachanganya mambo

Wako watu wapole na wastaarabu ila ni majasiri

Jasiri sio muongeaji bali anambinu za kutekeleza jambo kwa vitendo na majibu chanya yakaonekana unaweza ongea tu mambo ya hovyo yakaendelea tu

Afrika na Tanzania bado hatuna majasiri ndo maana mpaka navyoongea kuna umaskini na mambo mengi ya hovyo japokuwa kuna waongeaji wengi

Gwajima ana-utajiri means anaweza kuwa na walinzi hata wale wajana walikuwa wamemzunguka pande zote ni walinzi

Mimi na wewe tukiongea kama gwajima tunapotezwa hatuna ulinzi na hatujulikani
Raisi mtukufu mtarajiwa acha kuwa mnyonge sisi tupo nyuma yako nikisoma thread zako nakuelewa Sana umetoa ahadi kede kede nzurii nzurii huu ni muda wewe NDIE MBEBA MAONO TUVUSHE BABA.

MH. Mtukufu mtarajiwa RAIS wetu ajaye EMBU tuambie wafuasi wako tutumie mbinu gani wewe ukalie kiti ili Tanzania yenye afya na maendeleo makubwa na watanzania watakao heshima popote ulimwengu NDUGU RAIS MUDA NI SASA MAONA KAMA TUMECHEZEWA SANA/ TUMECHELEWA SANAA

#Tuna imani na ROBERTS.. Roberts anatosha.. Roberts ni mwamba TUVUSHE.. Roberts ni baba wa taifa wa pili baada ya Nyerere.
 
Tusitoke kwenye tamani, au tukabadili chorus ya NRNE, tulishapiga Kelele sana kuhusu utekaji Gwajima mwenyewe alikaa kimya, sisi tuendelee na NRNE halafu wao watakanyagana kuhusu kutekana
Huwezi kutumia silaha zote kwa wakati mmoja.

Wewe humjui Gwajima, muulize Kadinali Pengo ndio Mtanzania anayejuwa zaidi Gwajima, wa pili Makonda.

Halafu jiulize Magufuli kakata jina la mpwa wake aliyeshinda za maoni akamuweka Gwajima agombee, kuna kitu watu wamehifadhi kwenye vifua vyao, mzimu wa Magufuli utaendelea kuwatesa mumiani wote.
 
Kwanini tusijadili hoja yake zaidi, kuliko yeye binafsi? Kwasababu kutojadili hoja yake ni kugeuza upepo kama ulivyosema.
cha msingi hapa ni kujadili hoja bila kujali kama anafanya abrakadabra
 
Tofautisha kutumia hisia na kuwa jasiri unachanganya mambo

Wako watu wapole na wastaarabu ila ni majasiri

Jasiri sio muongeaji bali anambinu za kutekeleza jambo kwa vitendo na majibu chanya yakaonekana unaweza ongea tu mambo ya hovyo yakaendelea tu

Afrika na Tanzania bado hatuna majasiri ndo maana mpaka navyoongea kuna umaskini na mambo mengi ya hovyo japokuwa kuna waongeaji wengi

Gwajima ana-utajiri means anaweza kuwa na walinzi hata wale wajana walikuwa wamemzunguka pande zote ni walinzi

Mimi na wewe tukiongea kama gwajima tunapotezwa hatuna ulinzi na hatujulikani
Gwajima ni taasisi.
 
Kuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI.

DHARAU ni kitu chepesi sana dharau anakua nayo mtu yeyote,...ndio maana Wanyakusya hua mnasema wandharau 😁..hakuna Mnyakusya Jeuri au mweye kiburi so elewa dharau unaweza ipata kwa mtu yeyote.

Ila kuna kitu inaitwa UJEURI hii anakuaga nayo mtu JASIRI tu hii wanayo sana Wasukuma na wakurya😂
Na mtu JASIRI ni mtu always hua ana uhakika na kile anakisema au kukiamini.
Cc:Samia
Gwaji ni prototype ya jinsi gani mtanzania mkweli anatakiwa kua act against maovu.
Wapo wengi wanotatizika mioyo kwa ukidhiri wa haya matendo ya utekaji.
 
haaminiki sana kivile, ni mwanamikakati mahiri, huenda anageuza upepo fulani unaovuma nchini
Akili za wabongo bhana ujuaji mwingi, mtu akisema hivi oooh anataka kugeuza upepo, hii kauli uwa ni ya kijinga sana iliyojaa ujuaji wa kipumbavu

Aliyoyasema yanageuza upepo gani wakati ndo mambo yanayozungumziwa na yanawaumiza watu, hao wana harakati wa kenya na uganda si ndo habari inayongelewa kwa sasa na gwajima kaiongelea pia, ni upepo upi anaotaka kuuzima?
 
haya endelea kumuamini gwajima
 
Kuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI.

DHARAU ni kitu chepesi sana dharau anakua nayo mtu yeyote,...ndio maana Wanyakusya hua mnasema wandharau 😁..hakuna Mnyakusya Jeuri au mweye kiburi so elewa dharau unaweza ipata kwa mtu yeyote.

Ila kuna kitu inaitwa UJEURI hii anakuaga nayo mtu JASIRI tu hii wanayo sana Wasukuma na wakurya😂
Na mtu JASIRI ni mtu always hua ana uhakika na kile anakisema au kukiamini.
Cc:Samia
Mungu mbariki Askofu Gwajima!
 
Back
Top Bottom