Hii Ya Askofu G ndio inaitwa Jeuri

Hii Ya Askofu G ndio inaitwa Jeuri

Kuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI.

DHARAU ni kitu chepesi sana dharau anakua nayo mtu yeyote,...ndio maana Wanyakusya hua mnasema wandharau 😁..hakuna Mnyakusya Jeuri au mweye kiburi so elewa dharau unaweza ipata kwa mtu yeyote.

Ila kuna kitu inaitwa UJEURI hii anakuaga nayo mtu JASIRI tu hii wanayo sana Wasukuma na wakurya😂
Na mtu JASIRI ni mtu always hua ana uhakika na kile anakisema au kukiamini.
Cc:Samia
Hebu niweke sawa,ni kweli mnatuona wanyakyusa tunadharau? Maana nimeona sehemu nyingi wanatusema hivi.
 
Kuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI.

DHARAU ni kitu chepesi sana dharau anakua nayo mtu yeyote,...ndio maana Wanyakusya hua mnasema wandharau 😁..hakuna Mnyakusya Jeuri au mweye kiburi so elewa dharau unaweza ipata kwa mtu yeyote.

Ila kuna kitu inaitwa UJEURI hii anakuaga nayo mtu JASIRI tu hii wanayo sana Wasukuma na wakurya😂
Na mtu JASIRI ni mtu always hua ana uhakika na kile anakisema au kukiamini.
Cc:Samia
Ujasiri ni totauti na ujeuri. Ujeuri mara nyingi hutokana na mtu kuwa na kinga au hakikisho la usalama wake. Wasukuma wengi kinga yao kubwa ni uchawi. Hiyo ndio jeuri ya Gwajima.
 
Back
Top Bottom