faru rajabu
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 221
- 359
CCM SIJUI WANATUPELEKA WAPI JAMANI 🤣 🤣 🤣
Sawa, ila usinyatie waume za watu.Umri wa kujuta ushapitaa, saa hizi nakula pension tuu kwa afya yangu.
Nyie ingieni humo mtunzane mie mniache huku huku nje nafurahia kuimba na kucheza kama wahindi, ije mvua ije jua mziki mtindo mmoja...
Matata K.
Sawa, ila usinyatie waume za watu.
Tatizo sijui nani aliwaambia lazima kuolewa.. wana fail sana?..
Na pia waache kuchagua ..afu ajabu wote apo hakuna mwenye bikra
Ndipo unaona kuwa watanzania akili zetu mavi!
Walichezea majira sasa full kutapeliwa
Ndoa kwa mwanamke ni kitu kikubwa mno na kinachowaumiza akili sana hata kama atasema hataki akiwa msichana mdogo itafika hatua ataitamani mno ilakww sisii wanaume sio muhimu sanaaa
Wanatapeliwa tuApo wanaacha 10,000 tsh mtu anazidi kupendeza na familia yake
Sema '' KINIKIA'' ina Magu voiceKuna madu wawili wamevalia nyeusi wanabonge la rudio
Chanzo cha Haya yote Ni ccm iliyoleta maisha magumu kwa vijana.
Dada zangu ikataeni CCM kila kitu kitabadilika
Harafu jamaa na lisauti lake la kukwaruza anawaambia eti wachangamkie fursa!! Hizi imani zingine ni kazi kweli kweli!Ngoja nikajitwalie mmoja hapo kumbe ndoa imekuwa takwa la mabinti waliowengi
We uko wap kati ya hao?Aisee.. haya jamani wachumba haoo.. wakumwaaga..