EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,587
- 21,427
Demiss nae kaendaHata mimi nimemuona mkuu![emoji1][emoji1][emoji1]
Demiss nae kaendaHata mimi nimemuona mkuu![emoji1][emoji1][emoji1]
hahahahahahahahaChanzo cha Haya yote Ni ccm iliyoleta maisha magumu kwa vijana.
Dada zangu ikataeni CCM kila kitu kitabadilika
Punguza sumu hizo Matata, utakuja kujuta bure.....shauri yako!
Ndoa inakuja bila daliliWacha mabinti waendelee kuchagua wachumba wangali wabichi, mpaka hapo upepo wa kisulisuli utakapo washukia.
Kasie ushawai kuolewa?Kisulisuli huohuo unapeperusha waume za watu vyumbani kuja kuchukua hao....
Kisulisuli huohuo umepeperusha wachumba za watu na wake walioachika kusubiria waume wapya waje wawaoe....
Yaani mie sumu niliyonayo juu ya ndoa, acha nibaki kimya. Kila la kheri wenye kuiendea.
Watu Wa Mungu... Watumishi.. Haahaa
Ndoa kwa mwanamke ni kitu kikubwa mno na kinachowaumiza akili sana hata kama atasema hataki akiwa msichana mdogo itafika hatua ataitamani mno ilakww sisii wanaume sio muhimu sanaaaTatizo sijui nani aliwaambia lazima kuolewa.. wana fail sana?..
Na pia waache kuchagua ..afu ajabu wote apo hakuna mwenye bikra
Kasie ushawai kuolewa?
wengine nmeona wana chura balaa hilo kanisa liko sehem ganAisee.. haya jamani wachumba haoo.. wakumwaaga..
na nyege inakuwajeUmri wa kujuta ushapitaa, saa hizi nakula pension tuu kwa afya yangu.
Nyie ingieni humo mtunzane mie mniache huku huku nje nafurahia kuimba na kucheza kama wahindi, ije mvua ije jua mziki mtindo mmoja...
Matata K.
na nyege inakuwaje