ni kweli
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 236
- 288
Mvumo si wa kawaida kutoka milima ya moto.Hahahaa...
Upepo umefika huko uliko... Beba na wenzakooo....
Mvumo si wa kawaida kutoka milima ya moto.Hahahaa...
Upepo umefika huko uliko... Beba na wenzakooo....
Ndio hapo sasa, hawa viongozi wa dini wengine ni shida kweli,Sasa uyu anaombea waolewe mbona na yeye hajaolewa anafeli wapi
Chanzo cha Haya yote Ni ccm iliyoleta maisha magumu kwa vijana.
Dada zangu ikataeni CCM kila kitu kitabadilika
Nbd2fuckChanzo cha Haya yote Ni ccm iliyoleta maisha magumu kwa vijana.
Dada zangu ikataeni CCM kila kitu kitabadilika
Upepo wa kisulisuli umeshajibi
Hivi mabaharia mnakwama wapi?
hahahahahaahaaa........... haya Severineeee...Upepo wa kisulisuli umeshajibi
View attachment 1235975