[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]hii kali
Alafu tabia nyingine ya pesa ni hivi,
Mi nikiwa na hela nyingi nakosa kabisa appetite(hamu) ya kula...yaani naweza kaa kutwa nzima bila kula...ikifika muda wa kulala ndo nahisi njaa
Sikutarajia kama kwenye huu uzi nitasoma comment kama hii, afadhali kuna watu wanafikiria kutoa. Kama uko hivyo ni vema sana, tuko pamoja, MKONO KWA MKONO MPAKA PEPONIHiz hela ndogo ndogo kazi yake ni sadaka
Nikikuta dogo ana njaa nampa, nkikatisha nkakuta watu wanaomba nampa, nkikuta madogo wanalia wanapata pipi na biskuit
Hiyo ndo kazi ya hela ndogo ndogo ukisubiria upate nyingi ndo utoe
Itakuchukua mda sana
Sikutarajia kama kwenye huu uzi nitasoma comment kama hii, afadhali kuna watu wanafikiria kutoa. Kama uko hivyo ni vema sana, tuko pamoja, MKONO KWA MKONO MPAKA PEPONI