Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,645
Unaenda Kia ukitokea Moshi town halafu akakupita jamaa anayetokea Arusha na hukumuona tena
Mbona hizi ni direction mbili tofauti hebu nieleweshe sijakuelewa
Mbona hizi ni direction mbili tofauti hebu nieleweshe sijakuelewa
Ni kweli mkuu.
Kukimbia inategemea sana na aina ya barabara na namna unavyoijua.
Niseme tu magari madogo usiku yanakimbia sana.
Juzi jumapili kuna mtu nilienda nae airport Kia from Moshi town ilikuwa kama saa kumi kasoro alfajiri, alinipita jamaa akitokea Arusha kwa haraka haraka alikuwa kwenye speed ya 200km/hr.
Kwasababu alivyonipita siku mwona tena...
Watu wanakimbia sana.