Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Duh December nimenyoosha watu barabarani! Hizi Harrier sijui tako la nyani, Crown na ndugu zake nyoosha sana...! Ila ligi tamu sana

Basi tuishie hapa tuu.. nilicho kifanya December sitaki tena hasa pale Mombo -Same [emoji848] daah .. nilitafakari nikaona ujinga sana nilifanya asee
 
Hapo umesema kweli.
Ila pia kumbuka kuna vyuma vya mjapan ambavyo vimetengenezwa kwa ajili ya soko la Mwingereza. Vinatembea balaa

God save us
 
Basi tuishie hapa tuu.. nilicho kifanya December sitaki tena hasa pale Mombo -Same [emoji848] daah .. nilitafakari nikaona ujinga sana nilifanya asee
Sometimes unaenda mwendo wako wa kawaida ila unakuta kuna mtu anakuletea dharau hapo ndio unajikuta 'unamnyoosha'
 
Mie mtu akiniweke dharau, nami huwa naweka 'mkia' nyuma yake, akimbie akimbiavyo nipo tu, akifika 180kph mie ndipo naaza kufikiria kumpita na kumuacha kama amesimama.

Wengi huwa hawaamini dashboard zao baada ya kuwapita wakiwa 180km/h

decomm!
 
unawapita speed hiyo na pikipiki au gari?
 
Back
Top Bottom