Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Kuna mwamba mmoja, namwita Mwamba kwasababu anakimbia kwa speed ya ndege!!
 
Ni ya kawaida sema ni special na odometer yao inasoma adi 240 though yanatoka japan
Kikubwa ni wale madereva wameizoea zile barabara
Ushasema ni ya kawaida halafu ni special?
Hebu nioneshe Toyota hiace yenye 240 na Coaster yenye 240
 
kuna watu hua wanaenda hadi 260kph? labda kwa barabara ya mafinga-makambako
Ni ECU tu ndio imelimit speed kwenye Crown ila 4GR-FSE ukiikuta kwenye gari za soko la marekani kama Lexus IS250 inasukuma 260kph
 
Inategea subaru gan na barabara gan na kama ni nje ya mji au mjin
Mi nina legacy na 100 ni kawaida tu speed za apa mjin
Au we unaogopa speed mzee

Kwani tatizo ni 100 ? Tatizo barabara . Unakimbia 100 kwa sekunde tuu mkuu mfano rahisi huwez toka bunju mpaka posta ukapata sehemu utembee 100 hata kwa dakika 1. Bisha????? Njee mjini hakuna tatizo hata 150 safi kabisa. Mfano nakumbuka kuanzia tangibovu pale mpaka makumbusho hapo barabara iko ovyo saana mfano pale kwa komba unaposhuka kile kilima.. makongo pale unaweza toka njee ya barabara eti🤣
 
mkuu subaru ya aina gani hiyo? speed 100 tu? Juzi nimekuja na Escudo tu,ikiwa speed 100km/hr nachat kabisa.
acha ujinga unachat? halafu unajisifu, pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom