Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,729
- 3,511
Aisee mzee baba unajua 250mph si mchezo?Au ulimaanisha 250km/h?
Gt-r yenyewe ni 315 km/h (196 mph)
Yeah, nilimaanisha 250mph(400kmph)
Insue ni ina hp kama ya bugatti chiron ila top speed ndogo
Aisee mzee baba unajua 250mph si mchezo?Au ulimaanisha 250km/h?
Gt-r yenyewe ni 315 km/h (196 mph)
Hahah tairi ili burst ama?Nimestaafu rasmi ligi juzi meponea chupuchupu kufa
Taifa teule 😂Randrover inatoka taifa gani mkuu?
Chuma hiyoView attachment 1247472
mkuu subaru ya aina gani hiyo? speed 100 tu? Juzi nimekuja na Escudo tu,ikiwa speed 100km/hr nachat kabisa.
Ha ha haNawaza saana juzi niko na subaru nilifika 100 nikaona inavyo chomoka nikawaza sasa 160 ni kifo kabisaaaa manake hata kona hutaiona ..
Usiombe ukatia pua yako ndani chiku utatapikaWanaozikumbuka Chiku & Zainabu, VOLVO
Dar - Songea saa kumi na nusu
Sawa wee si mtu wa zambia unapanda ndegeWatu wa Mbeya na Songea, mnapanda sana Mabasi.
Elezea mkuu nn kilikupataLigi nimestaafu JUZI IJUMAA kwani nimeponea chupuchupu kufa
Na mm nimeshangazwa..speed ya 100 mbona kawaida sanamkuu subaru ya aina gani hiyo? speed 100 tu? Juzi nimekuja na Escudo tu,ikiwa speed 100km/hr nachat kabisa.
Watu wa Mbeya na Songea, mnapanda sana Mabasi.
[emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana.Mbeya wamebadilika siku hizi walikua wanadandia mafuso tu mwanzo mwisho.
Nawaza saana juzi niko na subaru nilifika 100 nikaona inavyo chomoka nikawaza sasa 160 ni kifo kabisaaaa manake hata kona hutaiona ..
Nissan GT-R top speed ni 315km/hrLimekaa kibabebabe sema sijui kwann speed haijanusa 250mph
Hii ni Japanese killing machine;it's not a car😆😆Bongo hapo nimeshaiona Nissan GT-R na watu wanakimbia nazo fresh tu.
Hopefully anajua GT-R ni nini.