Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
 
Jamiiforum is the home of Thinkers and not home of Crowd. KNOW THIS "Great minds discuss ideas. Average minds discuss events. Small minds discuss people." Eleanor Roosevelt. There are three types of thought that our brains produce: insightful (used for problem solving), experiential (focused on the task at hand), and incessant (chatter). Chatter means (talk informally about unimportant matters).
 
Viva Tecno...

Nilianzia tecno nilionunuliwa na baba, baba hiyo siku aliniuliza nikuletee simu aina gani nikamwambia naomba dk 2 nakujibu.

Nikamuuliza rafiki angu brand ya kuchukua kati ya Tecno na Huawei, akasema chukua Tecno.
Samsung sikuiweka sababu nilikuwa naona ya mama jinsi ilivyo na camera mbaya mbaya tu

Mpaka sahivi natumia tecno ninazo nunua mwenyewe, sijawahi kuwaza kuhama sijui Tecno wameniroga [emoji30][emoji30]
mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sifa ya simu yangu bila ya kujali majina makubwa

1. Uwezo wa betri kukaa bila kwisha kwa siku
2. Camera inayotoa picha nzuri
3. Torch yenye mwanga
4. Uwezo wa RAM yake
5. Ukubwa wa simu isiwe kubwa sana au ndogo sana

Hivyo tu, mengine zihitaji sana.
 
Re64e
Umewah kuishika s10 au unawashwa s10 plus ndio habar ya mjin ile sio simu tena maanaa imevuka mipaka fingerprint password mpaka za macho iris na kasi ya internet ni balaa tupu lte only una stream tu hamna loading movie unadownloadinng kwa dk na feature kibao na kiswahili voice typing yaan ukiingia samsung lazima uizarau techno iphone nampa heshima yke ila sijawah miliki iphone
4e4e4re6t34ee54rre64r54eerrr46erreww43werree4re6r545r4544e52e
 
Tabia ya kudharau simu za Tecno itawaponza milele baadhi yenu milele

Nashangaa hii tabia ikoje kwa sababu ni jambo la kushangaza Watanzania wa humu jf mnadharau simu za Tecno bila sababu zozote zile za msingi

Na watu wamekua wakibeza simu za tecno bila mantiki bila hoja ilhali taifa letu hata kile kichuma au kichwa cha kuchaji simu hatujaweza kuunda

Ni mambo ya ajabu sana katika makampuni yanayojitahidi kutengeneza na kuboresha bidhaa zao ni tecno miaka ya nyuma walikua na changamoto mbalimbali ila kwa sasa wapo vizuri

Angalia uimara wa simu,battery hata camera tunaweza kusema tecno sasa waweza mshindanisha hata na samsung

Kinachosikitisha ni kwamba zaidi ya asilimia 90% ya wana jamiiforum wanatumia tecno

Kama mnakumbuka kipindi ule ujumbe uliokua unatokea kwenye thread au comment za wana humu ule wa "SENT BY USING...

Jf kila mtu ana iphone na samsung ukipost tecno unapopolewa haya mnambie hivi kipind kile cha sent by using....mbona zaidi 90%users zilionekana tecno?hizo iphone au samsung zilipoteleaga wap?

ilionekana zaidi ya 90% ni tecno tu zilikua zinaonekana humu halafu hao hao watu watajifanya wana iphone na samsung tuacheni kufake maisha.

Tuache kubeza kampuni za watu na kuharibu brand za watu jamani mtakujaga kushtakiwa shauri yenu.

Kiukweli watu wanadhalau tu mimi nina iphone 7plus lakini siwezi mdhalau mtu kwani kila mmoja anachaguo lake lakini kiukweli iphone tunateseka sana ni siri yetu vitu vingi tunamiss ila uzuri wao simu ukiibiwa ni haraka kuipata tu.
 
Tabia ya kudharau simu za Tecno itawaponza milele baadhi yenu milele

Nashangaa hii tabia ikoje kwa sababu ni jambo la kushangaza Watanzania wa humu jf mnadharau simu za Tecno bila sababu zozote zile za msingi

Na watu wamekua wakibeza simu za tecno bila mantiki bila hoja ilhali taifa letu hata kile kichuma au kichwa cha kuchaji simu hatujaweza kuunda

Ni mambo ya ajabu sana katika makampuni yanayojitahidi kutengeneza na kuboresha bidhaa zao ni tecno miaka ya nyuma walikua na changamoto mbalimbali ila kwa sasa wapo vizuri

Angalia uimara wa simu,battery hata camera tunaweza kusema tecno sasa waweza mshindanisha hata na samsung

Kinachosikitisha ni kwamba zaidi ya asilimia 90% ya wana jamiiforum wanatumia tecno

Kama mnakumbuka kipindi ule ujumbe uliokua unatokea kwenye thread au comment za wana humu ule wa "SENT BY USING...

Jf kila mtu ana iphone na samsung ukipost tecno unapopolewa haya mnambie hivi kipind kile cha sent by using....mbona zaidi 90%users zilionekana tecno?hizo iphone au samsung zilipoteleaga wap?

ilionekana zaidi ya 90% ni tecno tu zilikua zinaonekana humu halafu hao hao watu watajifanya wana iphone na samsung tuacheni kufake maisha.

Tuache kubeza kampuni za watu na kuharibu brand za watu jamani mtakujaga kushtakiwa shauri yenu.
Tecno ufananishe na samsung kwenye camera?

Tema mate chini....
 
Back
Top Bottom