Hata Mimi wanaume siwezi nikamwamini,wana makando kando mengiMwanaume akipenda upenda kweli hata kibanda anaweza jenga.. Ila nyie wanawake hapana sijawahi kuwaamini, ndyo maana wahenga wanasema tuishi na ninyi kwa akili.
Nawapenda sana wanawake ila suala la uaminifu sijawahi kuwa nalo.
Mpende akupendaye mwenye mapenzi ya kweli, asiyekupenda anafanya utapeli...Hata Mimi wanaume siwezi nikamwamini,wana makando kando mengi
Tukiwa penda mpendeke co kutuzungushaAkikuvulia siku hiyo hiyo utaanza kumuita majina ya ajabu akivuta muda napo maneno! Wanaume huwa mnataka nini hasa
Upendo hupungua pindi mnatuzungushaKumbe sio upendo!!
Wewe unapenda ukabaliwe baada ya siku ngapi labda!
Una Moyo MgumuNdo mana km unampenda mwanaume mkubalie mapema tu
Na km sikupendi ht ukae miaka miwili i js wont kubali
Kipi kinakusukuma kumpokea ilihali mikono iko nyuma... Ushauuliza moyo wako kabla ya kuumpokea?, ktk kutambua upendo wa kweli huko wapi? Je umeuuliza moyo wako kuwa unafaa na yeye anafaa kuwa wako? Au ni matamanio tu ya muda ndyo yamekupelekea kuwa naye?Utamjuaje kabla anakuja mikono ipo nyuma anavyokueleza unafikiria kweli nimepata mume,,subutu umpe..umeharibu kila kitu
Loh,! Wiki mbili too fast hata kama nimekupenda,unajua naweza kukupenda sana ila nikachelewa kukubalia kukupa mwili ila nakupenda hapa huwa naangalia bidii yako katika upendo unaosema unanipenda,na wivu ninao kwako ila naangalia hali kwanzaHaraka iwezekanavyo maana kama tumeshaonana zaidi ya mara 3 ndani ya wiki mbili na nmeshakuwa muwazi kwako kwann tusumbuane unless uwe hujanipenda
Hawaendeshwi Na HisiaWa mkoani wapoje?