Hii tabia wanaume wengi wanayo

Kinachoniudhi ni kukuta mtu ni mfanyabiashara halafu anajidai kukuletea mapozi kisa ameona wewe ni mtu serious katika maisha...
Kuna mfanyabiashara na mpenzi,tunaongelea mpenzi uliyemsotea mwezi mzima halafu unamfanyia hivo
 
em nambie, ni mgombea gani hufanya kampeni baada ya uchaguzi?
 
Wanaume kama hawa na walaaniwe ingawa me mwenyewe mwanaume pia ila si mchezo mzuri sijui Nyapu ndio tunakuwa ndio kimbilio letumm
 
Ukishamvua samaki na kumla, outcome yake ni kinyesi, huwezi kula kinyesi hicho pale njaa na hamu ya samaki itapokuja tena, bali unaingia chomboni kwenda kutafuta samaki ingine
Utabadilisha samaki kila aina ila samaki ni yule yule!
 
Wapi lakini sio wote,ila kama kuna kamsaada kako kanahitajika na wewe unaonekana unaweza kusolve ndo unaombwa kuajibika,mbona kipindi unatongoza SMS za kuthibitishwa umepokea kias fulani bila kuombwa ulikuwa mwenyewe kwa mapenzi yako unatuma,baby kale lunch,kanunue kitu Fulani ila baada ya kupata humuoni tena
.wanaume bwana
 
Mlaniwe kama ndo tabia zenu!
 
kitandani kama chatu kameza mbuzi......yupo tuu kama mchimba kaburi.....ila kwa nje vemaaaa,,,,, so akili inazizima for the time.......now its your time to wake it up......but unaanza kulalamika oooohhh siku hizi sijui nini......wake me up babe!!.
 
em nambie, ni mgombea gani hufanya kampeni baada ya uchaguzi?
Baada ya kuchaguliwa fanya washukuru wananchi wako na ili uendelee kupendeka ili upate nafasi tena awam nyingine
 
 
Naweza fanya ivo lakini sasa kama wewe muhusika mwenyewe unajifanya unajua kila kitu na hautaki kuelekezwa unadhani nitahangaika na wewe
Mkuu, Ulipotea sana.

Tunasubiri visa vyako vipya, Najua a lot has happened toka kipindi chote hicho cha kutoweka hapa jamvini.
 
Wanaume kama hawa na walaaniwe ingawa me mwenyewe mwanaume pia ila si mchezo mzuri sijui Nyapu ndio tunakuwa ndio kimbilio letumm
Asante kwa kuniunga mkono,wakati anakufukuzia sijui huwa wanawaza nini aisee
 
Hapa kuna ukweli ndan yake
 
kitandani kama chatu kameza mbuzi......yupo tuu kama mchimba kaburi.....ila kwa nje vemaaaa,,,,, so akili inazizima for the time.......now its your time to wake it up......but unaanza kulalamika oooohhh siku hizi sijui nini......wake me up babe!!.
Binadamu tuna mapungufu,mapungufu yake unatakiwa wewe uyatatue kwa kumwambia,samahani my dear,naomba ufanye hivi,ufanye hivi

Mbona sisi huwa tunakwambia kuwa mbona kadudu kako hakasimami vizuri,mnasema oooh Kazi ngumu,ooh sikuwa vizuri leo,na ahadi kibao,ooh siku tukikutana nakuahidi nitaperform vizuri ,mbona huwa tunavumilia hayo tunayokutana nayo 6×6
 
first time dudu isisimame!!! i wonder!!! kusimama vizuri ndo kupi? labda mie mshamba!!... mapungufu nitataua ya wangapi bibie.....jiongeze......anyway labda umekutana na wrong choice of yours,,,,,,,labda ulijua ukimpa mdudu atakuwa wako......au alikuta coordinator icon imekuwa slammed......but sorry we just need to know kote kote😀😀
 


Suala si tamaa tu, mwanamme ni mtu anayependa ku-sample vitu, kama demu ni mzuri na mtundu kitandani....huyo ataliliwa mpaka kiama na zawadi zitazidi kila kukicha, atabembelezwa weeeeeee mpaka ajihisi hakuna mwanamke mwingine mzuri dunia hii ila ni yeye tu. Mara nyingi wanaume tunakata tamaa na kupunguza kasi ya kufukuzia baada ya kugundua kuwa mwanamke uliyekuwa unamfukuzia ni mbovu (kunuka papuchi, kunuka mdomo, kunuka makwapa, kunuka mavi, papuchi imepanuka sana baada ya kuchezewa mno, kutojuwa kucheza kitandani, na kuwa omba omba....yaani kila goli unalia kutaka vitu/hongo) kwa hali hii, mwanamke hata awe mzuri kivipi LAZIMA mwanamme atakata kamba tu. Wanawake jitunzeni na kurudisha heshima zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…