Hii siyo Fair kabisa.......!!

Hii siyo Fair kabisa.......!!

Kuna muda unaamua kuandika vitu kama mtu alokimbia shule darasa la 5 B.

Usimba na Uyanga wakijinga sana kwa staili hizi tukiwa nazo
Nakubaliana nawe 100% kwani kuna Siku moja nilikutana na Profesa Mmoja mkubwa sana nchini (wa Chuo ninachokihifadhi) akibishana na Wahuni mahala Kijiweni huku pia akitukana Mitusi mikubwa mikubwa nikasema hakika Vilabu vya Simba na Yanga vimeshaturoga Watanzania wote.
 
Yaani Mume Shujaa kasafiri zake kwenda kuleta Heshima nchini Misri huku nyuma Mke Maharage ya Mbeya nae anazurula kwa Waganga wa Kienyeji (Marafiki) Mkoani Tabora.
Hatimaye ukweli umejulikana. Mke kamkimbia mume wake, na kwenda kwa Mwarabu! Kilichomkuta huko, ni siri yake mwenyewe. Wakati mwingine mpunguze tamaa basi.
 
Mume????
Ashakuwa mboga ya maswala huyo ni mwendo wa kujigongea tu
 
Yaani Mume Shujaa kasafiri zake kwenda kuleta Heshima nchini Misri huku nyuma Mke Maharage ya Mbeya nae anazurula kwa Waganga wa Kienyeji (Marafiki) Mkoani Tabora.
VIPI USHIRIKINA ULIKUWEPO? KUNA VIONGOZI WALIHUJUMU TIMU
 
Usimtoroke mwenza wako wa ndoa ukaenda kufanya kazi za ndani uarabuni. Utateseka.
 
Screenshot_20250402_195605_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom