Inaweza kufanya shoe shine? Natafuta simu inayoweza ku shoe shine ndicho kitu kilichobakia. Nyingine zote uzushi.
ofcourse he z ila sio kila baba ni mwanaume bro
Inaitwa lg g pro 2 mnaizungumziaje wataalam kuhusu specification zake ukiilinganisha na galaxy s5 inapatikana tsh ngap abroad? 9c time
hio ni equivalent na note series za samsung na sio s series, yenyewe ni kubwa kama tablet (inch 6), hata specs za ndani inafanana sana na note 3 na imepitwa kidogo na s5.
bei huko abroad ni around 800,000. kama huna ulazima na simu kubwa na unapenda lg nunua lg g2 (isio na neno pro) yenyewe inapatikana as cheap as 400,000 huko abroad na pia hapa bongo zipo around 500,000
Zenye neno Pro zina shida gani mkuu???
hazina shida ila ni kubwa, si kila mtu anapendelea kutembea na simu kubwa
![]()
na kama una mikono midogo ndo tabu inazidi
Ila ni Lg 2 ??
Na Htc desire 816 na samsung Note 2 kwa ujuzi wako ipi ni chaguo sahihi??
Mimi ni muislam kaka n this z the holy month
yah lg g pro 2,
note 2 ni nzuri kuliko desire 816 lakini ni ya zamani kuliko hio desire. sasa hivi ni nadra sana kukuta note 2 ipo kwenye hali nzuri au mpya, nyingi zimetumika miaka 3 au miwili hivyo anytime zinaweza kuharibika. kwa hii desire ni rahisi kupata mpya au ambayo ipo katika hali nzuri.
pia angalia na budget unazozipata note 3 na s5 zimeshuka bei pia

chief mkwawa naomba unisaidie hili,kuna cm lg g2 ilitoka nje..ni used ila ndio hvy kama huijui utajua ni mpya..na ni original kabisa ila tatizo hamna sehem ya kuweka APN kuna neno 4G network tu..sasa hizi cm kuna manuva yoyote inaweza kufanyiwa ikapatikana hio net au ndio utumie tu kama cm ya kawaida haiwezekani...msaada
NENDA settings then network then tethering and networks then mobile network then acess point name.
kama haipo hio option itabidi ueke rom nyengine
Inaitwa lg g pro 2 mnaizungumziaje wataalam kuhusu specification zake ukiilinganisha na galaxy s5 inapatikana tsh ngap abroad? 9c time
kote huko tumefika mkuu haionekani..yaan hio option haipo kabisa...kuna yaan hapo panatakiwa iwepo APN bas imekaa hio 4g setting or network kama sikosei...na hakuna sehm ya kufanya setting..so inawezekana kuweka rom nyengine na ikafanya kazi? na ni how much kuweka hio rom nyengine?plz help