Hii siielewi

Hii siielewi

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,617
Reaction score
33,471
hello JF,

Napenda kujua hao kwenye video wanaocheza nimeona video nyingi wakicheza kama hivyo… swali ni kitu unachoweza kujifunza(learning) ama ni kitu unazaliwa nacho? (genetic)?? heheheeeheheheh
 
Hakunaga tabia genetic

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Sikujua kama Wigi likinuka sana unapata Corona.

Kama wewe uko chini ya miaka kumi na nane (18) hii kitu ipitie mbali, wala usiifungue
 
Unajifunza..huku uswazi kuna "makungwi" ndio kazi zao hizo ingawa hata wao wenyewe mabinti wakikutana kwenye mageto yao huwa wanafundishana..na hapo ndio zilizaliwa zile style sijui popo kanyea mbingu..nk.. BTW wasikushugulishe wengi wao wako empty kichwani..na niwatumiaji wazuri wa vilevi tofauti.
 
Niunganishe na huyo Kungwi tafadhali...
 
....na hapo ndio zilizaliwa zile style sijui popo kanyea mbingu..nk.

Hii naisikiaga tu sijawahi kuitilia akilini, uswahilini saa zingine mnafaidi mautundu.

Kama hautojali, unisimulie kiduchu piyemu ni nini hii.?
 
Back
Top Bottom