wakusoza
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 628
- 649
no usister in law we eatVip na hii jaman "Hainaga ushemeji tunakulaga" kwa kiinglishi
no usister in law we eatVip na hii jaman "Hainaga ushemeji tunakulaga" kwa kiinglishi
How many older brothers or sisters do you have
[emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] cha mwendo kasiiiiiYou are a child of how many
in your family? hahaha
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nadhani kingereza wanatumia
First born
Second born
Third born ........Nk
Hivyo jaribu tu kutengeneza sentensi kwa maneno hayo mimi mpaka nilewe ndio naweza kujaribu ,na kibaya pombe niameacha hivyo sina msaada kwako
Nashukuru mkuu, kiinglishi ni janga la Taifa mkuu. Ni mwendo wa kubahatisha tu. Kumbuka hakijaribiwiMkuu;
Hata kama umekosea ila hii inaleta maana. Nakuunga mkono.
mungu anakuonakuna mtu alisema "how many you are there in your family" ndo amenfanya nije kuuliza
kunywa pepsi ya baridi hapo nakuja kulipaWhat rank are you in your family in terms of age. Or what is your rank in your family agewise
Bhuahahahaha kumbe upo kama mim mkuu mpaka nipige konyagi bapa mbili ndo natema yai balaaNadhani kingereza wanatumia
First born
Second born
Third born ........Nk
Hivyo jaribu tu kutengeneza sentensi kwa maneno hayo mimi mpaka nilewe ndio naweza kujaribu ,na kibaya pombe niameacha hivyo sina msaada kwako
Hii sawa sawa!!What is your birth rank
Kwanza wewe kiswahili chenyewe hujui. Je kiingereza itakuwaje? Eti unasema kiingelezaKWANZA HIYO SENTESI TU SI KISWAHILI SANA NDIO MAANA HATA KWA KIIENGELEZA HAITALETA SI UNAONA HAPA YOU ARE CHILD OF HOW MANY IN OUR FAMILY
I don't care she is your wife... I can still F her...Vip na hii jaman "Hainaga ushemeji tunakulaga" kwa kiinglishi