Hii Script ya Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe Wilayani Temeke Ifike Mahali Ifike Mwisho

kinondoniilala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,622
Reaction score
1,864
Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo.

Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti.

Imefika wakati Kiongozi wa Nchi inabidi akemee huu ujinga unaoendelea, kazi ya Kanisa Katoliki haishii kuwasilisha Wakatoliki ibadani kanisani Kila Jumapili na kwenye Jumuiya, pia ni kama sehemu ya Jamii katika kukemea maovu yanayofanywa na Watawala, ni vyema watawala mkayachukua mawazo ya TEC na kuyafanyia kazi kuliko kutengeneza Scripts za hivyo hivyo tu kama vile wananchi wote ni vilaza tu hapa nchini, itafikia hatua haya mambo wananchi watayachoka na wataamua kuchukua hatua kama hamtayakemia, Sasa hatua gani watazichukua Mimi sijui.

Chao
 
Rais hawezi kukemea kwa sababu ndiye amewatuma BAKWATA na UVCCM wafanye hayo maigizo ili kulibagaza Kanisa Katoliki hata madhila anayokutana nayo VP Nchimbi ni kutokana na Ukatoliki wake.
 
Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo.

Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti.

Imefika wakati Kiongozi wa Nchi inabidi akemee huu ujinga unaoendelea, kazi ya Kanisa Katoliki haishii kuwasilisha Wakatoliki ibadani kanisani Kila Jumapili na kwenye Jumuiya, pia ni kama sehemu ya Jamii katika kukemea maovu yanayofanywa na Watawala, ni vyema watawala mkayachukua mawazo ya TEC na kuyafanyia kazi kuliko kutengeneza Scripts za hivyo hivyo tu kama vile wananchi wote ni vilaza tu hapa nchini, itafikia hatua haya mambo wananchi watayachoka na wataamua kuchukua hatua kama hamtayakemia, Sasa hatua gani watazichukua Mimi sijui.

Chao
Si wameenda kumalizana na Mkuu wa Wakatoliki huko Vatican?. Nongwa inatoka wapi?
 
Wakiyafanyia kazi mawazo ya TEC wanatoka Madarakani. We kuweza?
 
Si wameenda kumalizana na Mkuu wa Wakatoliki huko Vatican?. Nongwa inatoka wapi?
Papa yupo Juu ya Viongozi wote wa Dunia hii, sio Mkuu wa Wakatoriki tu sauti ile ya Askofu ni sauti ya Papa kwa hio unapopokea sauti ya Askofu halafu unaenda kwa Papa Papa lazima akurudishe kwa Paroko wako ukaanze na moja,
 
Katika vitu TEC na Kanisa katoliki Tanzania walikosea ni kufanya jitihada za Siri na wazi kuipindua serikali.
Siku zote jaribio lako la Mapinduzi ya Serikali liki fail Kuna gharama kubwa za wazi au za Siri hunabudi kuzilipia.
TEC na Katoliki wawe tayari kulipia gharama izo.
Ata Shetani/ Joka wa Zamani alivyo fail kwenye mapinduzi kule Mbinguni Kuna gharama anazilipia kwasasa na baadae Licha ya kuondoka na theluthi ya malaika kutoka Mbinguni lakini Bado analipia gharama.

Ni bahati watawala wa Tanzania Bado wapo wenye hofu ya Mungu ila kwa namna baadhi ya viongozi wa TEC walivyoshiriki katika uchochezi ingekua Rwanda saaizi Kuna baadhi ya Viongozi wa TEC wangekua wameshalipa gharama
 
Katika vitu TEC na Kanisa katoliki Tanzania walikosea ni kufanya jitihada za Siri na wazi kuipindua serikali.
Siku zote jaribio lako la Mapinduzi ya Serikali liki fail Kuna gharama kubwa za wazi au za Siri hunabudi kuzilipia.
TEC na Katoliki wawe tayari kulipia gharama izo.
Ata Shetani/ Joka wa Zamani alivyo fail kwenye mapinduzi kule Mbinguni Kuna gharama anazilipia kwasasa na baadae Licha ya kuondoka na theluthi ya malaika kutoka Mbinguni lakini Bado analipia gharama.
Ukiambiwa uthibitishe hilo utaweza kuthibitisha unachosema au yamekutoka tu kwa bahati mbaya?
 
Papa yupo Juu ya Viongozi wote wa Dunia hii, sio Mkuu wa Wakatoriki tu sauti ile ya Askofu ni sauti ya Papa kwa hio unapopokea sauti ya Askofu halafu unaenda kwa Papa Papa lazima akurudishe kwa Paroko wako ukaanze na moja,
Wakina Kombo wamerudishwa kwa Paroko?
 
Wakina Kombo wamerudishwa kwa Paroko?
Kawaulize walichojibiwa kwanza ndio watakwambia wanatokea Parokia ipi maana lazima warudishe mpira kwa Paroko awasikilize ndio awaelekezee kwa Askofu Askofu akiona namna gani ndio anawapa kibari cha kwenda kwa Papa, wao kwa Papa wamefikaje bila kupitia hizo hatua za kiutaratibu na kiutendaji wa kanisa?
 
Kwa hiyo maongezi yao hayakuwa ya Siri?. Tukiwauliza walichojibiwa je, watasema ukweli?
 
Si wameenda kumalizana na Mkuu wa Wakatoliki huko Vatican?. Nongwa inatoka wapi?

Hivi wanajua kuwa Vatican ni nchi, na Kiongozi Mkuu wa nchi hiyo ni Pope, na pia mnajua kwa Roman Catholic church nchini Vatican wa Mkuu wa Intelligence ambaye hata hapa Tanzania wanaye Mkuu wa Intelligence ya Kanisa, na unajua Kwamba katika official meeting yeyote Ile Serikali inayohitaji kuonana na Pope ni lazima waanzie kwa Balozi wa Vatican nchini ili ujumbe huo wa Serikali uweze kupokelewa nchini Vatican,

Ziara ya Serikali nchini Vatican inahusu Nini? Papa awasaidie kurudisha taswira ya nchi duniani kama sehemu ya lobbying??? Kwa sababu Papa ana ushawishi mkubwa sana duniani???
 
na unajua Kwamba katika official meeting yeyote Ile Serikali inayohitaji kuonana na Pope ni lazima waanzie kwa Balozi wa Vatican nchini ili ujumbe huo wa Serikali uweze kupokelewa nchini Vatican,
Waanzie kwa Paroko wa Parokia wanayosali kwanza kisha ndio watapewa kibari cha kuonana na Barozi wa Vatican sio wanaenda kienyeji tu
 
Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo.

Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti.

Imefika wakati Kiongozi wa Nchi inabidi akemee huu ujinga unaoendelea, kazi ya Kanisa Katoliki haishii kuwasilisha Wakatoliki ibadani kanisani Kila Jumapili na kwenye Jumuiya, pia ni kama sehemu ya Jamii katika kukemea maovu yanayofanywa na Watawala, ni vyema watawala mkayachukua mawazo ya TEC na kuyafanyia kazi kuliko kutengeneza Scripts za hivyo hivyo tu kama vile wananchi wote ni vilaza tu hapa nchini, itafikia hatua haya mambo wananchi watayachoka na wataamua kuchukua hatua kama hamtayakemia, Sasa hatua gani watazichukua Mimi sijui.

Chao
Hiyo project ya samua na Mwigulu haiwezi kufa
 
Bado wanaendeleza upuuzi wao ila nuongozaji na muigizaji wao anawaangusha sana
 
Attachments

  • VID-20260130-WA0000.mp4
    15 MB

Back
Top Bottom