Hii Script ya Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe Wilayani Temeke Ifike Mahali Ifike Mwisho

Hii Script ya Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe Wilayani Temeke Ifike Mahali Ifike Mwisho

Katika vitu TEC na Kanisa katoliki Tanzania walikosea ni kufanya jitihada za Siri na wazi kuipindua serikali.
Siku zote jaribio lako la Mapinduzi ya Serikali liki fail Kuna gharama kubwa za wazi au za Siri hunabudi kuzilipia.
TEC na Katoliki wawe tayari kulipia gharama izo.
Ata Shetani/ Joka wa Zamani alivyo fail kwenye mapinduzi kule Mbinguni Kuna gharama anazilipia kwasasa na baadae Licha ya kuondoka na theluthi ya malaika kutoka Mbinguni lakini Bado analipia gharama.

Ni bahati watawala wa Tanzania Bado wapo wenye hofu ya Mungu ila kwa namna baadhi ya viongozi wa TEC walivyoshiriki katika uchochezi ingekua Rwanda saaizi Kuna baadhi ya Viongozi wa TEC wangekua wameshalipa gharama
unatetea maslahi yako, lini walitaka kupindua, wana vikosi vya kijeshi? Muachage kuandika propaganda za kindezi
 
Back
Top Bottom