Ni ujinga wa mwanamke mwenyewe kwanini alipanua majapa kwa mwanaume reckless.View attachment 3609929View attachment 3609929maamuzi mengine kumpa mtu magumu....
Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign
2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu lake hajaona ata mia...
( redflag)
3.leo kafungiwa mwanaume kaiba tv ya vitron🤣..mwanaume akipenda ata kuiba ataiba akuleteee
Kuna siku kaiba mchanga mgodini
4..dada ana mimba ....maisha yao ya kuunganisha ...dah
Wanaume sio watu ila sio wote
5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...
6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻.....
Hapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...
Lakini wanawake mmezidi kuwafanya wanaume vitegauchumi.View attachment 3609929View attachment 3609929maamuzi mengine kumpa mtu magumu....
Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign
2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu lake hajaona ata mia...
( redflag)
3.leo kafungiwa mwanaume kaiba tv ya vitron🤣..mwanaume akipenda ata kuiba ataiba akuleteee
Kuna siku kaiba mchanga mgodini
4..dada ana mimba ....maisha yao ya kuunganisha ...dah
Wanaume sio watu ila sio wote
5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...
6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻.....
Hapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...
Muuza ice mwenyewe alifake maisha yani nyie wakaka muogopweTamaa zinawafanya kuja kuwa single mother mnataka watu wa maisha bora au siyo kwaiyo muuza ice-cream siyo mtu mtu mpaka anafake life kwa tamaa zenu hayo ndo malipo nanipo namuombea kwa mungu akijalibu kutoa mimba mungu fanya miujiza nayeye atoke nayo afe
Hapana Mungu yupo kikubwa discipline mwanaume awe nayo amheshimu uyo mama nae mama amuheshimu bwana ake asimtangaze kama ananavyofanya rather amuombeeAmina ila wanaweza kuteseka milele pia
Ndiyo maana ma-single mother wanazidi kujaa. Sikiliza: huyo rafiki yako mwambie afanye maamuzi magumu aitoe hiyo mimba. Asitoe uchochoroni bali hospital nzuri chini ya dr mtaalam. Vinginevyo ajiandae kulea mtoto, na kama anaona ataweza basi asitoe. Ameanza kumdanganya tangu mwanzo huyo atamkimbia siku si nyingi.MApenzi ya mwanzoni ni moto
Dah hii ni reality kabisa maisha hayana formularNdiyo maana ma-single mother wanazidi kujaa. Sikiliza: huyo rafiki yako mwambie afanye maamuzi magumu aitoe hiyo mimba. Asitoe uchochoroni bali hospital nzuri chini ya dr mtaalam. Vinginevyo ajiandae kulea mtoto, na kama anaona ataweza basi asitoe. Ameanza kumdanganya tangu mwanzo huyo atamkimbia siku si nyingi.
Atupe mtoto au waachane unazani ndio ku solve tatiz0oMaamuzi mengine yanamhitaji mwanadamu afanye..
Acha utotoView attachment 3609929View attachment 3609929maamuzi mengine kumpa mtu magumu....
Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign
2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu lake hajaona ata mia...
( redflag)
3.leo kafungiwa mwanaume kaiba tv ya vitron🤣..mwanaume akipenda ata kuiba ataiba akuleteee
Kuna siku kaiba mchanga mgodini
4..dada ana mimba ....maisha yao ya kuunganisha ...dah
Wanaume sio watu ila sio wote
5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...
6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻.....
Hapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...
Wanawake huwa hamwoni huyu mi teja maadam analeta pesa mezani maji yakimwagika ndipo akili inakuja.Kwani within those 4 months hakuona ana deal na mtu wa namna gani?
Ila mabinti mna ujasiri, mtu mmejuana miezi minne tayari umembebea mimba, na kwao hupajui na kazi yake ni photographer wa kibongo (katika uongo wote kachagua hiyo ndiyo iwe profession yake 🤦♀️)View attachment 3609929View attachment 3609929maamuzi mengine kumpa mtu magumu....