dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,677
- 12,755
Mallerina amekuja hata kunishtua kweli, sio vizuri hivyo 😞Ila mabinti mna ujasiri, mtu mmejuana miezi minne tayari umembebea mimba, na kwao hupajui na kazi yake ni photographer wa kibongo (katika uongo wote kachagua hiyo ndiyo iwe profession yake 🤦♀️)
Saa nyingine matukio kama haya huwa mnastahili tu, acha huyo Medina naye ajifunze jambo, hatarudia huu ujinga!