CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Twin mzima wewe??
Mzima twinito jamani, miss you alot. Hivi ulifichwa wapi??
Twin mzima wewe??
Mzima twinito jamani, miss you alot. Hivi ulifichwa wapi??
Atakushirikisha kwa hizo zawadi lakini siku akinyonyolewa hatakushirikisha. Na huyo atanyonyolewa tu, it's just a matter of days.
demu wako anamegwa kwa uhakika zaidi waache wamegane
huu ni ushauri wa bure
Ndugu mbona maneno magumu sana haya mwenzio akijiua je
Ni lazima tumwambie ukweli ajue kuwa he has to be man enough..!
We mpenzi wako ananunuliwa hadi chupi hushutki...aaah!
Ha ha ha si shemeji jamani
we shemeji yako akinunua chupi na sidiria na kukupa kama zawadi unapokea?
Siku akikuambia shem 'em vaa ile zawadi nione unavyopendeza, utafanyaje? teh!
Ha ha ha kwa kwel sijui iyakuwaje coz sina shemej
Naomba niwe shemeji yako..!!
Mume Wangu hana kaka wala mdogo wa me na hana rafiki sasa wewe utakuwa Shem kivip
napekua we acha kabisa usisubutu kuibawife wangu, nani kakuonyesha hapa?
Huyo mchumbaako na rafiki yako wana agenda ya siri!kwanza huyo mwanamke wako ana tamaa kupokea vitu vya bure na anajua fika kuwa huko ni kuhongwa au anamegwa mchana mweupe na rafikio na we ----- ukipakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!zinduka!!!
M npo twin..wewe tu, hauonekan na umenthuthaaa