Hii sawa jamani?

Hii sawa jamani?

Et unakuja kuomba ushauri!Ama kweli wewe huna hata chembe ya sifa ya kuitwa ME!
 
Nina rafiki yangu ambaye
tumeshibana sana. Lakini anapenda sana kumletea zawadi kwa siri mchumba
wangu na baada ya hapo mchumba wangu ananishirikisha, na ananihakikishia
kwamba hajawahi ombwa papuchi na hata akiomba hatamkubalia. Pia mchumba
wangu ananisihi sana nisije kumuuliza rafiki yangu juu ya hizo zawadi
ili yeye asiwe chanzo cha kutugombanisha.
BAADHI YA ZAWADI ALIZOWAHI KUMLETE.
viatu, chen, walet, vocha za mara kwa mara, nguo za nje na ndani, na
simu aina ya huawei y330.
Sasa najiuliza kuna usalama kweli hapo? Kwanini rafiki yangu ampe
mchumba wangu zawadi tena kwa siri? Na kwanini mchumba wangu
ananishirikisha?

???????????? pole ukiona manyoya?
 
Siku ukimwambia huyo mpenzi wako pumbavu wee...... Atang'ang'ania muachane na hata taka mrudiane tena na baada ya siku nne atakuambia nimepata mpenzi mpya huyu hapa ongea nae kwenye simu
 
Hadi chupi. .., alijuaje size??? Unahitaji degree ya sociology kujua kama unaibiwa?
 
Nina rafiki yangu ambaye tumeshibana sana. Lakini anapenda sana kumletea zawadi kwa siri mchumba wangu na baada ya hapo mchumba wangu ananishirikisha, na ananihakikishia kwamba hajawahi ombwa papuchi na hata akiomba hatamkubalia. Pia mchumba wangu ananisihi sana nisije kumuuliza rafiki yangu juu ya hizo zawadi ili yeye asiwe chanzo cha kutugombanisha.
BAADHI YA ZAWADI ALIZOWAHI KUMLETE.
viatu, chen, walet, vocha za mara kwa mara, nguo za nje na ndani, na simu aina ya huawei y330.
Sasa najiuliza kuna usalama kweli hapo? Kwanini rafiki yangu ampe mchumba wangu zawadi tena kwa siri? Na kwanini mchumba wangu ananishirikisha?

Mimi nina mtazamo tofauti kidogo. Inawezekana una mkono wa birika kwa mchumba wako hivyo hiyo ni kama anakupa feedback kuwa kuna wenzako wanahudumia ndio maana anakushirikisha.

Lakini pia anakushirikisha ili hata siku ukiwafuma kwenye angle tata uone ni kitu cha kawaida.

Cha kufanya kama amemnunulia kitu ambacho hata wewe unaweza kukitumia kama simu, chukua hiyo zawadi na uanze kuitumia na hakikisha huyo rafiki yako anaiona tena ikiwezekana mshukuru. Roho lazima imuume.
 
Habari nyingine kama hizi unaweza fikiri mtu anatania..!!?

Ila kweli yametokea..!? MAAJABU.
 
Rafiki kuleta zawad kwa siri kwa mchumba wako hapo kat kuna connection ambayo huijui!!! Hebu ashtuke tu halaf huyo dada mzima.kweli naona anapokea tu zawad asijue kupokea tu ajue na kutoa huko kukushirikisha kusikutie shaka anataka ajihami mapema likimbumburukia hilo boom lake la kishuzi shuzi
 
mmmh na mi nataka nkuletee zawadi...
 
Kusoma hujui basi hata picha kutazama huelewi akili mu kichwa baba ushafanywa babu jinga
 
Nina rafiki yangu ambaye tumeshibana sana. Lakini anapenda sana kumletea zawadi kwa siri mchumba wangu na baada ya hapo mchumba wangu ananishirikisha, na ananihakikishia kwamba hajawahi ombwa papuchi na hata akiomba hatamkubalia. Pia mchumba wangu ananisihi sana nisije kumuuliza rafiki yangu juu ya hizo zawadi ili yeye asiwe chanzo cha kutugombanisha.
BAADHI YA ZAWADI ALIZOWAHI KUMLETE.
viatu, chen, walet, vocha za mara kwa mara, nguo za nje na ndani, na simu aina ya huawei y330.
Sasa najiuliza kuna usalama kweli hapo? Kwanini rafiki yangu ampe mchumba wangu zawadi tena kwa siri? Na kwanini mchumba wangu ananishirikisha?
Mkuu ukiona manyoya ujue kaliwa kuwa makini na huyo rafiki yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom