Hii sawa jamani?

Hii sawa jamani?

Nina rafiki yangu ambaye tumeshibana sana. Lakini anapenda sana kumletea zawadi kwa siri mchumba wangu na baada ya hapo mchumba wangu ananishirikisha, na ananihakikishia kwamba hajawahi ombwa papuchi na hata akiomba hatamkubalia.

Pia mchumba wangu ananisihi sana nisije kumuuliza rafiki yangu juu ya hizo zawadi ili yeye asiwe chanzo cha kutugombanisha.

BAADHI YA ZAWADI ALIZOWAHI KUMLETE.
Viatu, cheni, wallet, vocha za mara kwa mara, nguo za nje na ndani, na simu aina ya huawei y330.

Sasa najiuliza kuna usalama kweli hapo? Kwanini rafiki yangu ampe mchumba wangu zawadi tena kwa siri?

Na kwanini mchumba wangu ananishirikisha?
Ndugu yangu ukiona manyoya ujue kanga kaliwa sasa subiri tu mpaka uachike gift ya chupi? tafakari chukua ..................
 
pole kaka kaa macho hapo jeshi linasogea jihami mapema
 
Nguo za ndani?Na wewe unaamini ni marafiki?Angalia wasije wakawa wanakuchezea mchezo

na hiii ndo point atampaje nguo za ndani!!!! na huyu jamaa anaonekana ana nidhamu ya uoga ingekuwa mimi mbona kishaeleweka muda tu!!!
 
Mbna wewe umeniita mpenz hapo juu?? Bas na mm nakusemea kwa mpenzi Remote umetaka nkuchepuke wakat nampenda Remote wangu
Hivi wewe ndiyo unakataa mimi kukuita hivyo ama?

huyo bwana mdogo kiwatengu hazipendi kucha zake eeh!

Mimi? Kwani umetoka wapi na huyu mdada?

Hajpend..naomba mu ulmboka huyo... na ikiwezekana mu ufosaro. We kiwatengu take care, dare u to get closer

Sidhani kama utaweza na mimi nitaweza
 
Last edited by a moderator:
Kwan wewe huna uwezo wa kumnunulia hivyo vitu? Kashaliwa huyoo wewe umelala tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom