Hii sawa jamani?

Hii sawa jamani?

Rafiki wa kweli huyo, na anamapenzi haswa kwako mpaka kwa shemejie. Wapo watu wa namna hii anaangalia mapungufu yako na anakusaidia kwa mlango wa uwani.

Ni wema hasa kwa kila kitu, ila kuwa makini kikulacho ki..., mahusiano ya siri nyuma yako ni ishara ya nia ovu. Study zinazo husu cheaters huonyesha marafiki wa karibu ndio wasaliti wetu wakuu.
 
Nguo za ndani?Na wewe unaamini ni marafiki?Angalia wasije wakawa wanakuchezea mchezo

alafu na wewe unavua hyohyo bby kakyupi haka kazur mfyuuuuuuu kanunua rafikiyo kama hujui alafu wewe wataka kuivua hata mke,Wa. obama akipata chance ya lijamaa kumpa vizawad mara 2au mara3lazma liloweke dushelele ndan ya papuchi
 
Sijakuelewa
 
Shemeji shemeji huku unazima taa. Wewe bado sana watakugongea mpaka utakoma. Huyo demu wako kwanza ni malaya na wewe pia hujielewi.
 
Rafiki wa kweli huyo, na anamapenzi haswa kwako mpaka kwa shemejie. Wapo watu wa namna hii anaangalia mapungufu yako na anakusaidia kwa mlango wa uwani.

Ni wema hasa kwa kila kitu, ila kuwa makini kikulacho ki..., mahusiano ya siri nyuma yako ni ishara ya nia ovu. Study zinazo husu cheaters huonyesha marafiki wa karibu ndio wasaliti wetu wakuu.

Hahaha Ukiona vyapendeza vinaghariwa :what::what::what:Wanawake wengi wako so weak kwa wanaume providers......
 
Anakwambia ili siku kikinuka yeye abaki kwenye safe zone.

Atasema 'Mimi wala sina makosa, si nilikuweka wazi vitu alivyokuwa anileta!? Yeye ndo kavuka mipaka.'

Very true...hiyo inaitwa kuandaliwa kisaikolojia.
 
Ndugu yangu.....First fear GOD and Second Woman...
Wanawake wanajua kucheza movie bila wewe kujua hata behind the skin...je umehakikisha hizo zawadi zinatoka kwa rafiki yako???...kwa nini mpenzi wako anakwambia usimuulize???...
Wanawake wanatabia ya kukudanganya kwa kutumia advantage ya rafiki yako...wengi mnafahamu hili...Keep ya head up na uone mbele usikurupuke kumjudge mchizi!!
 
Ww itakua haumpi hvyo vitu uyo mchumba wako ndo maana rafik yako kachukua jukumu. Na mchumba hapendi hyo tabia yako ndo maana anakushirikisha kukubeza udhaifu wako....
 
Muachie rafik yako akamilishe kaz yake we tafuta wako huyo si wako tena
 
whatch out!!!!!

Nina rafiki yangu ambaye tumeshibana sana. Lakini anapenda sana kumletea zawadi kwa siri mchumba wangu na baada ya hapo mchumba wangu ananishirikisha, na ananihakikishia kwamba hajawahi ombwa papuchi na hata akiomba hatamkubalia. Pia mchumba wangu ananisihi sana nisije kumuuliza rafiki yangu juu ya hizo zawadi ili yeye asiwe chanzo cha kutugombanisha.
BAADHI YA ZAWADI ALIZOWAHI KUMLETE.
viatu, chen, walet, vocha za mara kwa mara, nguo za nje na ndani, na simu aina ya huawei y330.
Sasa najiuliza kuna usalama kweli hapo? Kwanini rafiki yangu ampe mchumba wangu zawadi tena kwa siri? Na kwanini mchumba wangu ananishirikisha?

Bila shaka anakupenda huyu binti na hangependa kuwa chanzo cha nyie kugombana, hiyo ni point.

USHAURI WANGU PEKEE;-
Kama ni kweli huyo binti anakupenda na hapendi kuwa chanzo cha wewe kugombana ningekushauri umwambie kwamba SIKU AKILETEWA ZAWADI NYINGINE AMWAMBIE KUWA TAYARI UMESHAMNUNULIA ZAWADI KAMA HIZO, AFANYE HIVYO KILA AKILETEWA.

Kama huyo jamaa ana akili nzuri hatarudia kitendo hicho na ni yeye atakuja kukiri udhaifu huo kwako bila kuombwa.
 
Nina rafiki yangu ambaye tumeshibana sana. Lakini anapenda sana kumletea zawadi kwa siri mchumba wangu na baada ya hapo mchumba wangu ananishirikisha, na ananihakikishia kwamba hajawahi ombwa papuchi na hata akiomba hatamkubalia. Pia mchumba wangu ananisihi sana nisije kumuuliza rafiki yangu juu ya hizo zawadi ili yeye asiwe chanzo cha kutugombanisha.
BAADHI YA ZAWADI ALIZOWAHI KUMLETE.
viatu, chen, walet, vocha za mara kwa mara, nguo za nje na ndani, na simu aina ya huawei y330.
Sasa najiuliza kuna usalama kweli hapo? Kwanini rafiki yangu ampe mchumba wangu zawadi tena kwa siri? Na kwanini mchumba wangu ananishirikisha?

The game is over!!
She's now in bilateral agreement, one being disclosed while ze aza hidden!!!
Jiridhishe, chukua hatua!!!
 
kiwatengu Excel vipi hapaaaaaaaaaaaa

kuna msemo mmoja wa kikwetu unasema hivi..'' omonto ono utasaighile, hano okughenderi kunalana nawe, ulawesa kom saigha..''

Yaani ,,, mtu usiyempenda, kadiri unavyozidi kuwa na mazoea nae, anaweza kuwa mpenzi wako/unaweza kuja kumpenda!

Naona kila dalili hapa KAN..
 
Ha ha ha ha haaa. Makubwa haya..weka mbal na watoto kwa miss wako aiseeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom