Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,272
- 144,438
- Thread starter
-
- #121
Zinakuja Airbus 200 mbili ili kuzipa nguvu Dreamliner na Bombardier katika safari zake za Dar -KIA- MWANZA.
CRIPES nani katuroga?
Hivi mkuu haziwezi kubeba korosho ili kuongeza nguvu kwenye hii juhudi ya jiwe ya ishu ya korosho?Nasikia tumenunua Airbus....
Sijui hii itakuwa inapiga masafa ya wapi?? Mtwara labda?
Nyie mnaopiga maendeleo mantumiwa na mabeberu msio itakia mema Nchi yetu nawaangalia nasema hiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Maendeleo hyo ya awamu hiiNasikia tumenunua Airbus....
Sijui hii itakuwa inapiga masafa ya wapi?? Mtwara labda?
Bado siamini kama huyu ni Nyani ngabu au account yake imekuwa hacked.Maana ninachojua kuhusu yeye ni kuwa yeye ni kada mtukuka na si wa kuandika mambo kama haya
Ndiyo unagundua leo baada ya ndege kuanza kubeba wanaCCM bure ili ionekane imejaa. Wengine tulionya muda mrefu sana na cost assessment yake ikawekwa humu JF.
Inawabidi walidump tu baharin hapo ferry litengeneze coral reef hili liwe chimbuko la mazalia ya samaki na mimea ya baharini kuvutia watalii mascuber divers
😂😂😂😂💪 520 daily ?😂😂😂😂😂😂 nikaokotwe ng'wanangwa mieMaadam mwali tayari yumo ndani ya nyumba, na kitanda kimeisha tandikwa shuka nyeupe, kilichobakia ni kumuingiza tuu mwali chumbani na kuendelea na kinachoendelea.
Juhudi zetu sasa tuzielekeze katika kuhakisha ndege yetu inajaza hao abiria 520 daily wa kwenda Mwanza, na kurudi Dar ili ndege isiende tupu tukapata hasara.
P.
Waliopinga waliambiwa Sasa imefika wapewe siti ya mbele kabisa waone mawingi huko angani!
😂😂😂kwanza wateja wataihofia wakihisi routes zitakuja juu😊lolMkuu hivi unaweza kununua Ferari na kuifanyia biashara ya Tax na ikakulipa ?..
Amesema UENDAWAZIMU hajasema MWENDAWAZIMU mkuuNani mwendawazimu? Watch your steps!
Wajinga tu wale wanafikiri kila kitu ni chama mboga wakati ile ni biasharaNa wanaopanda ni wale wale na wanashuka na vijibendera mkononi utafikili watapanda kila siku!!!!
Angalia hoja sasa. Hivi alivyoandika ndiyo ameieleza hiyo serikaliNi serikali ambayo kwa ujinga wako uliipigania sana Sasa kaieleze hayo maujinga yako usitujazie seva.
miafrika ndivyo mlivyo
Hahaaaa....kulipenda taifa na kutopenda kuliona likifanya vibaya ndo kunatufanya wengine tusikubaliane na baadhi ya mambo.
Hivyo hatupingi kwa ubaya.
Uzalendo si kukubali kubali tu kila kitu hata kama ni kibaya!!
Likiwa Grounded itakuwa hasara kubwa sana