DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,816
- 30,492
Mkuu dreamliner ndio imeshanunuliwa hivyo.Wangeenda taratibu na hizo Bombardier.
Then shirika likikua ndo wanunue hayo ma Boeing na ma Airbus makubwa makubwa.
Oh well....tutaona.
Mwenye akili ndogo ni wewe bwanamdogo uliyezipoteza toka Oct 2015 na sasa unalalama nini sijui wamekunyima cheoAkili ndogo.
Bye Felicia.
Tatizo watanzania wengi ni bendera fata upepo. Wengi wapo very subjective na wanafata personal feelings hata kwenye facts. Mambo ya team flani na team fulani.Ukiwa ni mtu wa kusimamia kanuni hutopata shida kunielewa!
Ila ukiwa mshabiki unayeongozwa na mihemuko basi utapata tabu sana.
Kwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.
Ni jambo jema tu.
Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.
Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.
Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.
Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!
Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.
Hii serikali imechemka kabisa hapa!
No two ways about it.
Walikuwa kama watu wanaofurahia utamu wa pilau katika Msiba..hawajui gharama walioisababisha siku hiyo kuwa hewani yani kama kuchukua viroba viwili vya ngano kutoka kwa Godown Kipawa unapeleka Mbezi kwa Lori badala ya KirikuuNa wanaopanda ni wale wale na wanashuka na vijibendera mkononi utafikili watapanda kila siku!!!!
Ndege ilishajaribiwa kwa kuruka kutoka America kuja Tanzania..kilichobaki tunasubiri iruke katika route husika,watu huku wanaifanyia show hivi hizi kodi kuna haja ya kuzilipa? Kwa route moja tu sidhani kama wame cover gharama za kuirusha kwa siku hiyo. kitaaluma kinachofanyika ni kinyume na matumizi ya Mali katika uzalishaji kama hali ndio hii sio rahisi mikataba ya madini tukaiwezaKwa mujibu wa taarifa sahihi, safari hizo za ndani ni kwa ajili ya majaribio tu. Ndiyo lianze za nje, sijui mwenzetu ulielewa vipi
He! Hata wewe mkuu.Kwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.
Ni jambo jema tu.
Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.
Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.
Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.
Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!
Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.
Hii serikali imechemka kabisa hapa!
No two ways about it.
Hivi mnajua kanawasanifu nyie watu? Ndiyo maana nimekafukuza!Aende wapi sasa? we vip bana!!!!
Internet inafanafanyaje Mkuu?Mark your word mkuu usije kuyakataa maneno yako mwenyewe, ujue internet inaexcist forever
Wangeenda taratibu na hizo Bombardier.
Then shirika likikua ndo wanunue hayo ma Boeing na ma Airbus makubwa makubwa.
Oh well....tutaona.
Hahahaha duuhInawabidi walidump tu baharin hapo ferry litengeneze coral reef hili liwe chimbuko la mazalia ya samaki na mimea ya baharini kuvutia watalii mascuber divers
Hahahaha Watanzania bhana!Hivi limeshaanza safari zake? Nataka na mm nikalitie nuksi.
[emoji55] [emoji53]
No, got it wrongly Ngabu. These are maiden flights to offer pilots experience before resuming international flights tenable w.e.f September '18.Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!
Refer ile boat ya kwenda bagamoyo iligeuzwa kuwa ya jeshi. Magufuli mambo yakimshinda anakimbilia kwa wanajeshi kutafuta huruma.Inawabidi walidump tu baharin hapo ferry litengeneze coral reef hili liwe chimbuko la mazalia ya samaki na mimea ya baharini kuvutia watalii mascuber divers
No, got it wrongly Ngabu. These are maiden flights to offer pilots experience before resuming international flights tenable w.e.f September '18.
..kwa zaidi ya mwaka walikuwa wanajua kuwa ndege ya masafa marefu inakuja nchini.
..sasa kilichowazuia kufanya maandalizi ya ndege kufanya safari za masafa marefu ni nini?
..ccm wako very efficient kwenye kufanya fitina na majungu ya kisiasa, lakini ikija shughuli za maendeleo ni sifuri kabisa.
Cc Richard, Pascal Mayalla
He! Hata wewe mkuu.