sikiliza ushauri wa miss chagga: na ufanyia kazikaka msalimie wifi.. kaka me ni dada yako usimfokee mwache aendelee na ujenzi mkimaliza mwambie muipangishe hiyo nyumba halafu mjenge nyingine tena .. nina maanisha najua wanawake kaka yangu sitaki kukuona umepata shida na ukafa kabla ya wakati sitaki kusemea kuwa kajengewa hapana ila utashindwa kuwa na control kaka yangu nakupenda bado kaka. haya pole na hongera
Ntamsoma mume wangu... Kama anapenda sapraizi za vichokoleti au sapraizi kubwa kubwa kama gari na nyumba!!! Na ndoa zilivyo ngumu kuzipata siku izi sitaki achika...Kuwa makini mkuu..Usije ukaachika tu
Kweli kabisa!!! Sapuraizi zingine hiziiii!!!! Unaweza pokea nyumba from mchepuko wa wife [emoji23][emoji23][emoji23]MKUU FANYA HESABU CHUKUA SALARI YAKE YA MIAKA YOTE TANGU AANZA KAZI THEN TOA MATUMIZI YAKE YA MIAKA YOTE UTAPATA SAVING YAKE HALAFU THAMANISHA NA NYUMBA HALAFU URUDI TENA HAPA
Ngafu fijohuenda kuna rijamaa lilikuwa linamjengea sasa baada ya bwana Pombe kuharibu mambo jamaa akamwambia amalizie mwenyewe, dame nae kuchek hawez kumalizia akaamua kumpasia wa karibu yake (wewe). mbombo ngafu
Kabla yayote muulize hati kaandika jina gani? Kama kaadika jina lake tu umeliwa kaka.
huenda kuna rijamaa lilikuwa linamjengea sasa baada ya bwana Pombe kuharibu mambo jamaa akamwambia amalizie mwenyewe, dame nae kuchek hawez kumalizia akaamua kumpasia wa karibu yake (wewe). mbombo ngafu
Mkuu bora huyo ni mtu wa kusafiri..Unaweza kusema wife wake alikuwa anatumia muda huo akiwa hayupo kusimamia ujenzi..Lakini Huyu tunalala na kuamka wote deile sijawahi kusikia akiongelea mambo ya ujenzi..Japo kwa maelezo yake nimemuelewa..Ila ameibua kosa jingine la uongo...Kumbe muda aliokuwa anaupata kwenda kuangalia maendeleo ya ujenzi akirudi home amechelewa nikimuuliza alikuwa ananipa sababu tofauti..Lakini now nimeelewa alikuwa ananidanganyaMaisha ya ndoa hayana formular, inategemea mnaaminiana vipi, kuna familia ninaifahamu mdada aliolewa ni form four liver lakini zinga la beauty queen. Mume alikuwa mfanyabiashara, wameaoana lakini mume mtu wa kusafiri sana na alimwamini mke wake kuchukua kiasi chochote cha pesa anachohitaji bank. Yule dada alichukua pesa alinunua kiwanja, baba akiwa safarini yeye anashinda na mafundi. Surprise aliyofanyiwa baba anaambiwa tunahamia kwenye nyumba yetu tuachane na mambo ya kupanga nyumba Masaki. Inawezekana wewe kuwa wale wachache wenye bahati waliacha mawe na kuoa almasi.
Ndoa yenu ina muda gani? Fanya analysis ya mapato na matumizi yake kama yanaweza kuzaa kitu kama hicho na akueleze ukweli amezaje kujenga nyumba kwa siri.Mkuu bora huyo ni mtu wa kusafiri..Unaweza kusema wife wake alikuwa anatumia muda huo akiwa hayupo kusimamia ujenzi..Lakini Huyu tunalala na kuamka wote deile sijawahi kusikia akiongelea mambo ya ujenzi..Japo kwa maelezo yake nimemuelewa..Ila ameibua kosa jingine la uongo...Kumbe muda aliokuwa anaupata kwenda kuangalia maendeleo ya ujenzi akirudi home amechelewa nikimuuliza alikuwa ananipa sababu tofauti..Lakini now nimeelewa alikuwa ananidanganya
Mkuu bora huyo ni mtu wa kusafiri..Unaweza kusema wife wake alikuwa anatumia muda huo akiwa hayupo kusimamia ujenzi..Lakini Huyu tunalala na kuamka wote deile sijawahi kusikia akiongelea mambo ya ujenzi..Japo kwa maelezo yake nimemuelewa..Ila ameibua kosa jingine la uongo...Kumbe muda aliokuwa anaupata kwenda kuangalia maendeleo ya ujenzi akirudi home amechelewa nikimuuliza alikuwa ananipa sababu tofauti..Lakini now nimeelewa alikuwa ananidanganya