Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,248
Nimeona bwana Nashukuru mwaka huu nitaongeza wa 16.King Mswati nimekutakia heri ya siku ya kuzaliwa
Msalimie huyo shemeji wa masuprise aseeh.
Nimeona bwana Nashukuru mwaka huu nitaongeza wa 16.King Mswati nimekutakia heri ya siku ya kuzaliwa
subiri zije zote tu kakaSista wifi yako amenipa mawazo aisee..Hapa sielewi kuna sapraizi gani nyingine inakuja
hatari sana embu tumsubirie tuone ataishia wapiKwanza haeleweki ameoa wake wangapi, maana hata sisi kaka zake ametushinda kwa kweli, leo utasikia kaamkia Bunju, kesho atakwambia wamehamia mkoani na vitu wameacha kwa mama mkwe, mara kesho kutwa atakwambia ameoa mke mwingine bikra!
Yaani kifupi Kaboom amebaki anatufanyia surprise tu.
Ahsante mkuuMkuu wewe jaribu kupiga mahesabu yako kutokana na jinsi unavyomfahamu kama kweli kwa vyanzo vyake vya mapato anaweza kufanya hilo jambo..anyway hata kama kuna jamaa amekusaidia wewe weka nguvu zako kujenga yenu kama familia,hawa viumbe wananyodo sana kesho na kesho kutwa unaweza kujuta kama utagandisha akili yako kwenye hyo nyumba..the choice is yours!
sawa kakaWe unanijua vizuri sista..Usikubali kujazwa maneno
basi hapo bila bila ,cha msingi weka mpira kati maisha yaendeleePoa mkuu..Na tunayokaa ni yangu siyo yake
hatari sana embu tumsubirie tuone ataishia wapi
Teh teh..Bikra Tz alibaki mmoja tu..Ndo huyo niliyemuoa..Hakuna mwingineKwanza haeleweki ameoa wake wangapi, maana hata sisi kaka zake ametushinda kwa kweli, leo utasikia kaamkia Bunju, kesho atakwambia wamehamia mkoani na vitu wameacha kwa mama mkwe, mara kesho kutwa atakwambia ameoa mke mwingine bikra!
Yaani kifupi Kaboom amebaki anatufanyia surprise tu.
Teh teh..Nipo bro
Hiyo nyumba ni yake sio yenu, hakukushirikisha tangu mwanzo kwa sababu hakutaka mshare katika hiyo nyumbaSalaam Wapendwa
Mi bado ni mgeni kwenye hii taasisi ya Ndoa..Japo kuna changamoto za hapa na pale ila Nashukuru Mungu bado hazijanizidi uwezo..Ila hii ya Juzi imenifikirisha kidogo.
Mi na wife tunashauriana,Shirikishana na kupanga mengi kwa Pamoja..Juzi kanichukua na kunipeleka maeneo ya Bunju kwa madai ya kwamba kuna sapraizi anataka kunifanyia..Nikajua uenda amenunua shamba anataka kunionyesha Au alishalima anataka kunionyesha maendeleo ya mazao yake..Mana kuna kipindi stori za kilimo zilikuwa hazikauki ndani ya nyumba..
Kinyume na mawazo yangu..Baada ya kufunguliwa kitambaa usoni Nakutana na Nyumba ambayo hiko kwenye hatua za Mwisho kabisa Kukamilika..Nikashikwa na Bumbuwazi baada ya kuniambia ni nyumba yetu..
Sina wasiwasi kwamba atakuwa kajenga kwa nguvu zake..Ila najiuliza mbona hajawahi kunishirikisha wala kugusia hili swala..Nilipomuuliza akaniambia hakutaka kunishirikisha kwa sababu alitaka iwe sapraizi...Hii ni sawa kweli kwa wanandoa??..
Embu naombeni mawazo yenu ya chap chap kabla na mi sijaamua kumuanzishia sapraizi mfululizo
Ndio sawa amekusupraiziSalaam Wapendwa