Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Kwakweli huyu inabidi mumfungie CCTV mwili mzima. Halafu na hizi surprise tena zilizoibuka ngachokaMdogo wangu huyu, tulifikia mpaka kwenda polisi kutangaza amepotea tukidhani ametekwa, ila polisi wakatuhakikishia kwamba kitengo chao cha utekaji kimepumzika kwa sasa.
Leo ndo anaibuka na kusema yuko Bunju kwenye surprise.