Hii recruitment portal mbona wanatuchanganya?

Hii recruitment portal mbona wanatuchanganya?

cha msingi ile barua unayo atach si tayari ina adress ya unapotuma inatosha haina haja ya kutuma kwa posta
Mkuu ngoja niongezee hapo hapo iyo barua inabidi iwe kwenye PDF
 
Ndio mkuu.....

Piga copy vyeti vinavyohusika nenda kwa mwanasheria agonge muhuri na pia aweke signature.....

Baada ya hapo scan hiyo copy ya vyeti vilivyokuwa certified then upload ajira portal....

Ukihitaji mwanasheria nitafute nikugongee muhuri bure free of charge....
Asante mkuu.. Ubarikiwe kwa offer hii... Ila Vyeti vyote vimekua certified labda uniajiri kua PA 😂😂😂
 
Habari zenu wadau! Kuna tatizo moja naombeni mnisaidie mwenzenu kuna tangazo la kazi la utumishi la tarehe 24 ambalo limeelekeza maombi yote yafanyike kwa njia ya kielekitroniki kama kawaida ila sasa napata wakati mgumu kihusu hii angalizo lao wanalosema MUHIMU:je baada ya kutuma maombi kwa njia portal ukimaliza unayatuma maombi hayo hayo kwa njia ya posta kwenye anuani elekezi?.sijaelewa hapo chini wadau nisaidieni mwenzenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Anwani inayotolewa hapo chini baada ya tangazo,
Ni kwa ajili ya mtu unaye mtumia/address to.
Barua ya kiofsi au kikazi ina Anwani ya mtumaji/anayeomba kazi na yule anayeombwa kazi.
Baada ya kuandika barua ya maombi mwandikiwa anaipataje?
Hapo ndiyo wanakuambia maombi yatumwe kupitia ajira portal na si vinginevyo
 
Ndio mkuu.....

Piga copy vyeti vinavyohusika nenda kwa mwanasheria agonge muhuri na pia aweke signature.....

Baada ya hapo scan hiyo copy ya vyeti vilivyokuwa certified then upload ajira portal....

Ukihitaji mwanasheria nitafute nikugongee muhuri bure free of charge....
mkuu ntakupata wapi nipige muhuri nahitaji ku certify vyeti
 
mkuu ntakupata wapi nipige muhuri nahitaji ku certify vyeti
Usizoee vya bure mana anaekupigia muhuri hadi kuupata alitumia rasilimali ela na rasilimali muda pia.....ukizoea sana ipo siku utaombwa 0713............akili kumkichwa
 
Back
Top Bottom