Hii recruitment portal mbona wanatuchanganya?

matyazo

Senior Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
109
Reaction score
31
Habari zenu wadau! Kuna tatizo moja naombeni mnisaidie mwenzenu kuna tangazo la kazi la utumishi la tarehe 24 ambalo limeelekeza maombi yote yafanyike kwa njia ya kielekitroniki kama kawaida ila sasa napata wakati mgumu kihusu hii angalizo lao wanalosema MUHIMU:je baada ya kutuma maombi kwa njia portal ukimaliza unayatuma maombi hayo hayo kwa njia ya posta kwenye anuani elekezi?.sijaelewa hapo chini wadau nisaidieni mwenzenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishatuma kwa njia ya electronic inatosha. All the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anuani elekezi umepatiwa ili uandike kwenye barua yako ya maombi. Ukishatuma kwa njia ya electronic hamna haja ya kutuma kwa njia ya posta
 
Daaaaaahhh
Hiyohiyo online yatosha mzee,hyo ni address yao ya kuwaandikia application letter.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Hii Recruitment Portal kwangu ni Majanga.

Awali nili attach vyeti ambavyo siyo Certified. Baada ya Uhakiki hawa jamaa sasa wanataka CERTIFIED.

Basi nime Certify na nime Scan vzr. Najaribu ku attach cheti inakubali vzr tu. Tatizo ni ku Save Changes. Ina zunguka weeeeeee (in process) baadae file hulioni likiwa lime attachiwa (lina ondoka/ina fail ku save changes).

Nime waandikia Emails ile section ya Help. Hawajanijibu ni mwezi wa pili sasa na tatizo hilo kwenye Account Yangu bado linaendelea. Miezi 2 sasa.

Nimejaribu kufungua Account mpya. Tatizo liko pale pale!!!

Tena sasa niki Login ina niletea message nyekundu "You are temporarily Locked Out". Daah hili limfumo limeniboa balaaa.

Kama hawana ma IT wazuri basi wa azime hawa Jamii Forums ambao wana Experience wasaidie mambo ya mitandao.

Wadau nami mnisaidie hapa hapa badala ya kuanzisha uzi mwingine na kuja server tu.

Je nikishindwa kabisa naruhusiwa kutuma maombi yangu kwa njia ya Posta?

Nyie: www.ajira.go.tz mje huku mnisaidie.

JPM KAMATA WEZI
 
Habari zenu wadau! Kuna tatizo moja naombeni mnisaidie mwenzenu kuna tangazo la kazi la utumishi la tarehe 24 ambalo limeelekeza maombi yote yafanyike kwa njia ya kielekitroniki kama kawaida ila sasa napata wakati mgumu kihusu hii angalizo lao wanalosema MUHIMU:je baada ya kutuma maombi kwa njia portal ukimaliza unayatuma maombi hayo hayo kwa njia ya posta kwenye anuani elekezi?.sijaelewa hapo chini wadau nisaidieni mwenzenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye cover leter unaweka iyo anuani kisha una attach

Mkuu, tatizo dogo sana hilo. Jaribu kubadilisha browser unayotumia. Kama unatumia Mozilla, jaribu Google Chrome, n.k. Ikishindikana jaribu kutumia device nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu labda kuna form inabidi u print uzitume angalia vizuri hayo maelekezo
 
Mkuu, tatizo dogo sana hilo. Jaribu kubadilisha browser unayotumia. Kama unatumia Mozilla, jaribu Google Chrome, n.k. Ikishindikana jaribu kutumia device nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa ushauri mkuu.

Nitaufanyia kazi.

Nilikuwa natumia Mozilla ktk PC yangu.

JPM KAMATA WEZI
 
Hii Recruitment Portal kwangu ni Majanga.

Awali nili attach vyeti ambavyo siyo Certified. Baada ya Uhakiki hawa jamaa sasa wanataka CERTIFIED.

Basi nime Certify na nime Scan vzr. Najaribu ku attach cheti inakubali vzr tu. Tatizo ni ku Save Changes. Ina zunguka weeeeeee (in process) baadae file hulioni likiwa lime attachiwa (lina ondoka/ina fail ku save changes).

Nime waandikia Emails ile section ya Help. Hawajanijibu ni mwezi wa pili sasa na tatizo hilo kwenye Account Yangu bado linaendelea. Miezi 2 sasa.

Nimejaribu kufungua Account mpya. Tatizo liko pale pale!!!

Tena sasa niki Login ina niletea message nyekundu "You are temporarily Locked Out". Daah hili limfumo limeniboa balaaa.

Kama hawana ma IT wazuri basi wa azime hawa Jamii Forums ambao wana Experience wasaidie mambo ya mitandao.

Wadau nami mnisaidie hapa hapa badala ya kuanzisha uzi mwingine na kuja server tu.

Je nikishindwa kabisa naruhusiwa kutuma maombi yangu kwa njia ya Posta?

Nyie: www.ajira.go.tz mje huku mnisaidie.

JPM KAMATA WEZI
Unachotakiwa ni kudelete na kuanza kuingiza Taarifa upyaa
All the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wadau! Kuna tatizo moja naombeni mnisaidie mwenzenu kuna tangazo la kazi la utumishi la tarehe 24 ambalo limeelekeza maombi yote yafanyike kwa njia ya kielekitroniki kama kawaida ila sasa napata wakati mgumu kihusu hii angalizo lao wanalosema MUHIMU:je baada ya kutuma maombi kwa njia portal ukimaliza unayatuma maombi hayo hayo kwa njia ya posta kwenye anuani elekezi?.sijaelewa hapo chini wadau nisaidieni mwenzenu

Sent using Jamii Forums mobile app
cha msingi ile barua unayo atach si tayari ina adress ya unapotuma inatosha haina haja ya kutuma kwa posta
 
Jamani naomba msaada... Sijaelewa jinsi ya kutumia hii kiTu. Ina maana ata original certificates zinatakiwa kua Certified?
 
Ndio mkuu.....

Piga copy vyeti vinavyohusika nenda kwa mwanasheria agonge muhuri na pia aweke signature.....

Baada ya hapo scan hiyo copy ya vyeti vilivyokuwa certified then upload ajira portal....

Ukihitaji mwanasheria nitafute nikugongee muhuri bure free of charge....
 
Safi sana mkuu nadhani ni watu wachache sana wenye moyo kama wako
 
Back
Top Bottom