Nilikuwa nawaza hivi ningekuwa single roho yangu isingekuwa inamuwaza nimpendae,ningekuwa single nisingewaza yupo na nani maana nisingemjua,ningekuwa single nisingeumia kutokumjulia hali kila aamkapo au akilala ,ningekuwa single sisingewaza kuzungumza chochote bila kumkwaza pengine pia nisingewaza ngono,ningekuwa single...............
Kuwa huru kuna raha yake ila mapenzi nayo yana umuhimu wake.
Hivi mapenzi ni raha au karaha?
Raha kama mnapendana, Karaha kama hupendwi/mapenzi yamepungua/kuchuja kabisaaaa!!!
:tape: :tape: :doh: :doh:
hiv kuwa single manake kutokuwa na mpenzi?
mi nae siku hizi nazeeka nahis!
Raha kama mnapendana,karaha kama hupendwi/mapenzi yamepungua/kuchuja kabisaaaa!!!
Hahahaha mzima wewe?
nilikuwa nawaza hivi ningekuwa single roho yangu isingekuwa inamuwaza nimpendae,ningekuwa single nisingewaza yupo na nani maana nisingemjua,ningekuwa single nisingeumia kutokumjulia hali kila aamkapo au akilala ,ningekuwa single sisingewaza kuzungumza chochote bila kumkwaza pengine pia nisingewaza ngono,ningekuwa single...............
Kuwa huru kuna raha yake ila mapenzi nayo yana umuhimu wake.
Hivi mapenzi ni raha au karaha?
Raha kama mnapendana,karaha kama hupendwi/mapenzi yamepungua/kuchuja kabisaaaa!!![/QUOTEU
Tatizo watu wanatafuta malaika.
Mie mzima na sehemu zangu zooooote!!!!
Mie mzima na sehemu zangu zooooote!!!!
Nilikuwa nawaza hivi ningekuwa single roho yangu isingekuwa inamuwaza nimpendae,ningekuwa single nisingewaza yupo na nani maana nisingemjua,ningekuwa single nisingeumia kutokumjulia hali kila aamkapo au akilala ,ningekuwa single sisingewaza kuzungumza chochote bila kumkwaza pengine pia nisingewaza ngono,ningekuwa single...............
Kuwa huru kuna raha yake ila mapenzi nayo yana umuhimu wake.
Hivi mapenzi ni raha au karaha?
basi mie nafurahi kusikia kuwa sehemu zako zooooote ni nzima. Nimezikumbuka
mnhhhhhhhhhhhh