TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,210
- 13,049
Kila mtu ameweka pozi lake.

1. JK amedakwa Mkono na Bi. Shosti hapo. Kama vile anagulia maumivu ya kudakwa vile.
1a. Bi Shosti ni kama vile anamwambia "you look so cute and energetic Mr Kikwee"
1b. JK ni kama vile anamjibu "Hehehehehehe, senkyu vere machi, i love you too"
2. Upande wa Kushoto hapo Mzee kaona isiwe tabu na yeye kaudaka mkono wa Mmama pembeni yake.
3. Upande wa kulia Magufuli na Genge lake ni kama wanamwambia JK, Mkumbatie umbusu ameshaingia laini.
4. Bi Shosti mwenye Magamba (Sori nguo za Kijani) ni kama vile anatamani angelikuwa yeye anashikana mkono na JK.
5. Mzee jirani na Bi Shosti wa Magamba ni kama vile anasema "Mwee Urais mtamu asikuambie mtu"
Mapendo.