TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,210
- 13,049
- Thread starter
- #21
Watu wanasalimiana huyu mzee wa kulia anapiga makofi duh, kweli tuna safari ndefu!!
Kuna mtu aliwahi kupendekeza Watanzania tuwe mojawapo ya maajabu ya Dunia. Sababu ya Wanafiki kama hawa wanaofikiria kujipendekeza tu hata kama wanakosea.